Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO kutupora kwa nguvu rasilimali zetu ikiwemo ardhi ya kilimo na makazi.

Waafrika na nchi zote zilizowahi kutawaliwa na magharibi hatuwezi kubaki neutral kwenye hili kwa kisingizio cha aina yoyote ile. Kukaa kimya ni sawa na kumuunga mkono mtesi wetu ambae baada ya Urusi kuanguka atatuvamia tena.

Kila mtu mwenye akili anakumbuka namna misaada kutoka nchi za Magharibi kwenda nchi maskini na Afrika ilivyopungua ghafla baada ya USSR (Soviet) ilivyoanguka na kupelekea kwisha kwa vita baridi.

Leo hii baada ya kuimarika kwa Urusi na China kiuchumi na kijeshi magharibi wanarudi tena kwetu na misaada mbuzi ili tuwaunge mkono dhidi ya Urusi na China.

Hapa ndipo akina Nyerere, Nkrumah, Mugabe, Gaddafi, nk tunapo wamis.

Sikiliza wanaume waliobaki wanavyowaza kishujaa.

😂😂😂 Nimekumbuka hela ya makinikia kila mtanzania kununua gari.
Black people ni hasara duniani.
Kweli kabisa mkuu,tuanze kukubaliana kuwa sisi wenyewe ni matatizo makubwa, Tanzania 🇹🇿 tunategemea 30%ya wheat kutoka Ukraine na Russia, kabla ya kuombea hii vita iishe ili makali ya kimaisha Yapungue including fuel price ndio kwanza kuna ushabiki wa kishenzi unaendelea humu jukwaani, miaka zaidi ya 60 ya kujitawala but still hatujitegemei kwa budget yetu!,na tuelewe ni EU wanaochangia kwa kiwango kikubwa hili so called pan African parliament!,Tanzania tumetoa mchango wetu?debate for another day na kituko kingine Speaker ametokea Zimbabwe!
 
Yaani Russia iikomboe dunia? Unachekesha! Tangu lini Russia ikaijali dunia?
 
Ukombozi wa Russia nenda kalinganishe Afghanistan ya kabla ya Soviet na ile baada ya Soviet,

Aleppo ya kabla ya Urusi kuingia na ile ya Urusi kuingia

Mauripol ya Urusi kabla ya kuingia na ile Urusi kaingia

Ukombozi wa Urusi ni uharibifu kama ukombozi wa Urusi ni shwari angalia former Satellite states zake za nchi ya Ulaya nani anataka kuirudisha Soviet Union?
 
Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO kutupora kwa nguvu rasilimali zetu ikiwemo ardhi ya kilimo na makazi.

Waafrika na nchi zote zilizowahi kutawaliwa na magharibi hatuwezi kubaki neutral kwenye hili kwa kisingizio cha aina yoyote ile. Kukaa kimya ni sawa na kumuunga mkono mtesi wetu ambae baada ya Urusi kuanguka atatuvamia tena.

Kila mtu mwenye akili anakumbuka namna misaada kutoka nchi za Magharibi kwenda nchi maskini na Afrika ilivyopungua ghafla baada ya USSR (Soviet) ilivyoanguka na kupelekea kwisha kwa vita baridi.

Leo hii baada ya kuimarika kwa Urusi na China kiuchumi na kijeshi magharibi wanarudi tena kwetu na misaada mbuzi ili tuwaunge mkono dhidi ya Urusi na China.

Hapa ndipo akina Nyerere, Nkrumah, Mugabe, Gaddafi, nk tunapo wamis.

Sikiliza wanaume waliobaki wanavyowaza kishujaa.

Tutashinda tu,mwanaume mmoja dhidi 30 wamepoteana!
 
Kweli kabisa mkuu,tuanze kukubaliana kuwa sisi wenyewe ni matatizo makubwa, Tanzania 🇹🇿 tunategemea 30%ya wheat kutoka Ukraine na Russia, kabla ya kuombea hii vita iishe ili makali ya kimaisha Yapungue including fuel price ndio kwanza kuna ushabiki wa kishenzi unaendelea humu jukwaani, miaka zaidi ya 60 ya kujitawala but still hatujitegemei kwa budget yetu!,na tuelewe ni EU wanaochangia kwa kiwango kikubwa hili so called pan African parliament!,Tanzania tumetoa mchango wetu?debate for another day na kituko kingine Speaker ametokea Zimbabwe!
Wabongo kwa kushabikia pande zinazipingana na kubishana ndiyo kipaji chao. Sijui hii tabia ilitokana na nini. Kula ugali kwa wingi? Tanzania nzima sasa hivi kuna vita kali kati ya vijana wa Urusi VS vijana wa nchi za Magharibi. Hata ugumu wa maisha watu wamesahau. Nchi inakwenda kombo lakini vijana wake wako busy kubishana Urusi vs Ukraine.
 
Dunia haiwezi kusaidia dicteta.
Dictator ni yule alietumia Nuclear kuuwa maelfu ya watu, dictator ni yule alietoka miles kwenda kuuwa watu Iraq, dictator ni yule alietoka miles kwenda kuuwa watu Somalia, Libya, dictator ni yule anawagawa watu kwa kuwatisha eti kama hawajaasi atawaekea vikwazo, dictator ni yule anaepora mali za watu kwa kutumia nguvu( kuiba mafuta) dictator ni yule anaenahisha vikundi vya kigaidi kama IS, UKRO NAZIST nk

Leo Putin kulinda mipaka yake dhidi ya magaidi wa nato ni udicteta??
 
Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO kutupora kwa nguvu rasilimali zetu ikiwemo ardhi ya kilimo na makazi.

Waafrika na nchi zote zilizowahi kutawaliwa na magharibi hatuwezi kubaki neutral kwenye hili kwa kisingizio cha aina yoyote ile. Kukaa kimya ni sawa na kumuunga mkono mtesi wetu ambae baada ya Urusi kuanguka atatuvamia tena.

Kila mtu mwenye akili anakumbuka namna misaada kutoka nchi za Magharibi kwenda nchi maskini na Afrika ilivyopungua ghafla baada ya USSR (Soviet) ilivyoanguka na kupelekea kwisha kwa vita baridi.

Leo hii baada ya kuimarika kwa Urusi na China kiuchumi na kijeshi magharibi wanarudi tena kwetu na misaada mbuzi ili tuwaunge mkono dhidi ya Urusi na China.

Hapa ndipo akina Nyerere, Nkrumah, Mugabe, Gaddafi, nk tunapo wamis.

Sikiliza wanaume waliobaki wanavyowaza kishujaa.

Una akili sana mkuu
 
Kweli kabisa mkuu,tuanze kukubaliana kuwa sisi wenyewe ni matatizo makubwa, Tanzania 🇹🇿 tunategemea 30%ya wheat kutoka Ukraine na Russia, kabla ya kuombea hii vita iishe ili makali ya kimaisha Yapungue including fuel price ndio kwanza kuna ushabiki wa kishenzi unaendelea humu jukwaani, miaka zaidi ya 60 ya kujitawala but still hatujitegemei kwa budget yetu!,na tuelewe ni EU wanaochangia kwa kiwango kikubwa hili so called pan African parliament!,Tanzania tumetoa mchango wetu?debate for another day na kituko kingine Speaker ametokea Zimbabwe!
Vita hii inayoendelea inaziuiza zaidi nchi za ulimwengu 3 kuliko inavyoumia Ukraine na mataifa ya ulimwengu wa kwanza.
Nchi za ulimwengu wa kwanza hakuna maisha Magumu wao
Haya mawazo yanasababisha wanaume kupungua, ule mfano unahitaji uongeze na akili zako siyo kila unachoambiwa unanyonya kama dodoki.
Kwamba ili niongeze idadi ya wanaume walio katika sifa zako wewe nilipaswa kuamini kuwa nilikuwa naenda kumiliki gari kupitia hela makinikia, ila nikiamini kuwa pesa za makinikia zilikuwa ni siasa uchwala ninakuwa napunguza idadi ya wanaume?.
Basi, Ikiwa ni hivyo, niweke upende wowote unaohisi unanifaa.
 
Yaani Russia iikomboe dunia? Unachekesha! Tangu lini Russia ikaijali dunia?
Ww vita ya pili ya dunia ni nani alipambana kwa nguvu kubwa mpaka wajerumani wakasanda km hujui ni Mrusi na ndo alitoa jeshi kubwa kuliko mataifa mengine ...Jamani muwe mnasoma ...mna simu kubwaaa ila hata hamzitumii kutafuta maarifa
 
Hatuzumzii mambo ya vita vya dunia miaka zaidi ya 70 iliyopita. Tunazungumzia sasa.
 
Back
Top Bottom