Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

Dictator ni yule alietumia Nuclear kuuwa maelfu ya watu, dictator ni yule alietoka miles kwenda kuuwa watu Iraq, dictator ni yule alietoka miles kwenda kuuwa watu Somalia, Libya, dictator ni yule anawagawa watu kwa kuwatisha eti kama hawajaasi atawaekea vikwazo, dictator ni yule anaepora mali za watu kwa kutumia nguvu( kuiba mafuta) dictator ni yule anaenahisha vikundi vya kigaidi kama IS, UKRO NAZIST nk

Leo Putin kulinda mipaka yake dhidi ya magaidi wa nato ni udicteta??
True saying [emoji419][emoji419][emoji419]
 
Kweli kabisa mkuu,tuanze kukubaliana kuwa sisi wenyewe ni matatizo makubwa, Tanzania [emoji1241] tunategemea 30%ya wheat kutoka Ukraine na Russia, kabla ya kuombea hii vita iishe ili makali ya kimaisha Yapungue including fuel price ndio kwanza kuna ushabiki wa kishenzi unaendelea humu jukwaani, miaka zaidi ya 60 ya kujitawala but still hatujitegemei kwa budget yetu!,na tuelewe ni EU wanaochangia kwa kiwango kikubwa hili so called pan African parliament!,Tanzania tumetoa mchango wetu?debate for another day na kituko kingine Speaker ametokea Zimbabwe!
Swala ni Urusi aache kumpiga Ukraine, hapo ndo amani itatawala tofauti na hapo tutegemee anguko kubwa la uchumi, kuanzia watu hadi serikali
 
Dictator ni yule alietumia Nuclear kuuwa maelfu ya watu, dictator ni yule alietoka miles kwenda kuuwa watu Iraq, dictator ni yule alietoka miles kwenda kuuwa watu Somalia, Libya, dictator ni yule anawagawa watu kwa kuwatisha eti kama hawajaasi atawaekea vikwazo, dictator ni yule anaepora mali za watu kwa kutumia nguvu( kuiba mafuta) dictator ni yule anaenahisha vikundi vya kigaidi kama IS, UKRO NAZIST nk

Leo Putin kulinda mipaka yake dhidi ya magaidi wa nato ni udicteta??
Na wale wanaojilipua kule afghan ni nato?
 
Dikteta ni yule anayetawala kwa mkono wa chuma huku akiminya wapinzani wake wa kisiasa na kubadilibadi katiba ili aendelee kubakia madarakani, Mfano Mseveni, Putin, Kagame, nk
 
Leo Putin kulinda mipaka yake dhidi ya magaidi wa nato ni udicteta??

Analinda mipaka yake au ndo anaifanya iwe dhaifu zaidi, saizi vita iko mpakani mwake, NATO inazidi kujitanua, wajuba wanashambulia ndani ya Russia, wanajeshi zaidi wa NATO wameongezwa karibu na mipaka ya urusi wakati dikteta alidhani kuishambulia Ukraine NATO ingepunguza shughuli zake ulaya na nchi zingine jirani yake zingeogopa kujiunga ila matokeo yake majirani ndo wanajiunga Sasa kwa speed na dikteta amebaki kubweka tu.
 
Ww vita ya pili ya dunia ni nani alipambana kwa nguvu kubwa mpaka wajerumani wakasanda km hujui ni Mrusi na ndo alitoa jeshi kubwa kuliko mataifa mengine ...Jamani muwe mnasoma ...mna simu kubwaaa ila hata hamzitumii kutafuta maarifa
Hiyo ilikuwa USSR na wapiganaji toka Ukraine ndani ya jeshi la USSR inakadiriwa walikuwa zaidi ya 60%. Ukraine miaka yote ndiyo ilikuwa kitovu cha maendeleo ya USSR. Ndio maana kujitenga kwake kunampa homa sana Putin. Enzi hizo ndani ya USSR itikadi ya ukomunisti ilikuwa moto chini ya uongozi wa mkono wa chuma wa Stalin.

Pamoja na hilo Urusi ya leo ni nyingine sana. Imeshikiliwa na Kremlin inayobebana na oligarchs (mabepari wa kuchongwa) kufisidi nchi kwa kushirikiana na mabeberu wa US na Ulaya! Ni watu wa bata la matrilioni. Huwakosi kwenye top resorts za dunia. Ni kizunguzungu tu.

Hivyo, kutafuta ushirika na Urusi ni kama kucheza kamari ambayo lazima uliwe.
 
unakijua mchina anacho kifanya hapo Kenya na Africa kwa ujumla mkuu hata mrusi ni shetani kwa jamii fulani huko..
 
Hiyo ilikuwa USSR na wapiganaji toka Ukraine ndani ya jeshi la USSR inakadiriwa walikuwa zaidi ya 60%. Ukraine miaka yote ndiyo ilikuwa kitovu cha maendeleo ya USSR. Ndio maana kujitenga kwake kunampa homa sana Putin. Enzi hizo ndani ya USSR itikadi ya ukomunisti ilikuwa moto chini ya uongozi wa mkono wa chuma wa Stalin.

Pamoja na hilo Urusi ya leo ni nyingine sana. Imeshikiliwa na Kremlin inayobebana na oligarchs (mabepari wa kuchongwa) kufisidi nchi kwa kushirikiana na mabeberu wa US na Ulaya! Ni watu wa bata la matrilioni. Huwakosi kwenye top resorts za dunia. Ni kizunguzungu tu.

Hivyo, kutafuta ushirika na Urusi ni kama kucheza kamari ambayo lazima uliwe.
Ngonjela
 
Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO kutupora kwa nguvu rasilimali zetu ikiwemo ardhi ya kilimo na makazi.

Waafrika na nchi zote zilizowahi kutawaliwa na magharibi hatuwezi kubaki neutral kwenye hili kwa kisingizio cha aina yoyote ile. Kukaa kimya ni sawa na kumuunga mkono mtesi wetu ambae baada ya Urusi kuanguka atatuvamia tena.

Kila mtu mwenye akili anakumbuka namna misaada kutoka nchi za Magharibi kwenda nchi maskini na Afrika ilivyopungua ghafla baada ya USSR (Soviet) ilivyoanguka na kupelekea kwisha kwa vita baridi.

Leo hii baada ya kuimarika kwa Urusi na China kiuchumi na kijeshi magharibi wanarudi tena kwetu na misaada mbuzi ili tuwaunge mkono dhidi ya Urusi na China.

Hapa ndipo akina Nyerere, Nkrumah, Mugabe, Gaddafi, nk tunapo wamis.

Sikiliza wanaume waliobaki wanavyowaza kishujaa.

Imran Khan is a failure in Pakistan

He is a loser

He hates West claiming ndio waliochangia yeye kutoswa madaraka...infact ni his own weakness akatafuta pa kusingizia

Hivyo his views ,ni,well,usual suspect,against US!

Pili,awe Urusi au US,ni kifo tu

You are naive!

Ni kwamba umetoa baradhuli moja umeweka baradhuli jingine...Hakuna ukombozi wa chochote hapo

Tena ni heri US walao dunia majority tuna follow democracy thanks to the US...System ya dunia ni open,rule of law,etc

Eti leo nimekaa TZ namtukana Putin kwenye twitter nakuja kushikwa na FSB naenda kukatwa shingo kwenye Kremlin Square bila hata due process au mahakamani

Nani anataka system hovyo namna hiyo za kidikteta!
 
Toa upumbavu wako hapa,, marekani ndio alioutengeneza ukimwi na kutuletea. Usidanganywe na dawa marekani hana nia njema zaidi ya maslahi yake
Duh

Marekani kajenga ukimwi yeye na hii conspiracy unaiamini?

Like really?

Na China kajenga COvid-19,unaamini hilo?

You have a problem....

Hebu ongelea vitu proven hapa,acha conspiracies...unfounded claims..with no evidence!
 
Usilolijua kuwa. Nchi zote duniani zinaishi kama wanyama mwituni.
Usitegemee sungura kumtawala simba.
Miaka 50 ya uhuru unahangaika na matundu ya choo wakati huo wenzako wanarusha vyombo kwenda mwezini kufanya utafiti.
Russia na China haina msaada ktk dunia hii.
1. Nchi gani zinaongoza kutoa misaada ya kifedha
2. Nchi gani inayotoa misaada ya dawa matibabu?
ARV inatoka marekani tena bure.
UliPokuwa unaomba uhuru na kujitawala ulifanya hivyo kwa kazi gani kama still ujajiPanga kujitegemea?

China na Urusi wako sahihi na ndio maana wamefikia level ya juu kabisa ya standards za maisha.

Magharibi hawataki tujitambue na kusimama kwa miguu yetu wenyewe maana kimsingi kuna mengi sana ambayo wananufaika nayo kuPitia ignorance tuliyo nayo.
 
Una madini, mbuga za wanyama, ardhi safi na maziwa halafu bado masikini kwanini wasikuchukulie?
Miaka 50 ya uhuru unahangaika na matundu ya choo, dhahabu utaweza kichimba?
Hata kwenye ndoa, mwanamke akikizidi hela amekutawala na lazima atakuendesha anavyotaka.
Unaleta huruma kwenye dunia ya Capitalism. Russia huyo anaipiga Ukraine, angekuwa ana roho nzuri asingemvamia
Watu wanaiba madini na rasilimali.worth trillions halafu watanzania wanakufa njaa mahali. Serikali inajiondoa kwenye Equation. Huo uPumbavu utaondolewa na warusi sasa baada ya magharibi kushindwa.

Tunahitaji balance of Power ya kweli sasa. Mwenye shida aje anunue anachokitaka kwa Pesa yetu ili uchumi uimarike. Sio mtu anadhulumu madini ya billion 7OO halafu anawajengea vyoo vya milion 5O mnamuona mtu wa maana.😁😁😁
 
Unafikiri Russia na China ni wema sana kuliko Marekani? Unafikiri Russia bado ana mfumo wa socialim? Kama unafikiri hivyo unajidanganya na huu mfumo ushakufa tangu karne ya 19. Tupo kwenye ulimwengu wa Capitalism ndiyo maana unaona leo baada ya Ukraine kuchoshwa na unyonyaji wa Russia amemkimbia ila alichofanya Russia ni kumpiga Ukraine.
Nature haidanganyi siku zote huu mfumo upo hata kwa wanyama.
Mwenye nguvu atamtawala asiye na nguvu.
Kama una madini, mbuga za wanyama, maziwa na ardhi safi halafu bado masikini kwanini wenye uhitaji wasije kuchukua hata kwa udanganyifu.
Subiri siku ukiwa kavulana ndiyo akili zitarudi ila sasa ni kavulata hujui chochote.
Urusi na China wameivamia nchi ipi? Wao wanakuuzia huduma, bidhaa na kununua za kwako kwa makubaliano, hawakulazimishi kununua Wala kuuza, ni hiari yako. Lakini Magharibi wanapora kwa nguvu. Mizozo yote huko Congo, Mali, Iraq, Libya, Syria, Afghanistan, Vietnam, Pakistan, Africa ya Kati, Ethiopia, Sudan, Yemen, hongkong, nk ni Magharibi tyuuu kutaka kupora kwa nguvu kupitia NATO.
 
Back
Top Bottom