Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

True saying [emoji419][emoji419][emoji419]
 
Swala ni Urusi aache kumpiga Ukraine, hapo ndo amani itatawala tofauti na hapo tutegemee anguko kubwa la uchumi, kuanzia watu hadi serikali
 
Na wale wanaojilipua kule afghan ni nato?
 
Dikteta ni yule anayetawala kwa mkono wa chuma huku akiminya wapinzani wake wa kisiasa na kubadilibadi katiba ili aendelee kubakia madarakani, Mfano Mseveni, Putin, Kagame, nk
 
Leo Putin kulinda mipaka yake dhidi ya magaidi wa nato ni udicteta??

Analinda mipaka yake au ndo anaifanya iwe dhaifu zaidi, saizi vita iko mpakani mwake, NATO inazidi kujitanua, wajuba wanashambulia ndani ya Russia, wanajeshi zaidi wa NATO wameongezwa karibu na mipaka ya urusi wakati dikteta alidhani kuishambulia Ukraine NATO ingepunguza shughuli zake ulaya na nchi zingine jirani yake zingeogopa kujiunga ila matokeo yake majirani ndo wanajiunga Sasa kwa speed na dikteta amebaki kubweka tu.
 
Ww vita ya pili ya dunia ni nani alipambana kwa nguvu kubwa mpaka wajerumani wakasanda km hujui ni Mrusi na ndo alitoa jeshi kubwa kuliko mataifa mengine ...Jamani muwe mnasoma ...mna simu kubwaaa ila hata hamzitumii kutafuta maarifa
Hiyo ilikuwa USSR na wapiganaji toka Ukraine ndani ya jeshi la USSR inakadiriwa walikuwa zaidi ya 60%. Ukraine miaka yote ndiyo ilikuwa kitovu cha maendeleo ya USSR. Ndio maana kujitenga kwake kunampa homa sana Putin. Enzi hizo ndani ya USSR itikadi ya ukomunisti ilikuwa moto chini ya uongozi wa mkono wa chuma wa Stalin.

Pamoja na hilo Urusi ya leo ni nyingine sana. Imeshikiliwa na Kremlin inayobebana na oligarchs (mabepari wa kuchongwa) kufisidi nchi kwa kushirikiana na mabeberu wa US na Ulaya! Ni watu wa bata la matrilioni. Huwakosi kwenye top resorts za dunia. Ni kizunguzungu tu.

Hivyo, kutafuta ushirika na Urusi ni kama kucheza kamari ambayo lazima uliwe.
 
unakijua mchina anacho kifanya hapo Kenya na Africa kwa ujumla mkuu hata mrusi ni shetani kwa jamii fulani huko..
 
Ngonjela
 
Imran Khan is a failure in Pakistan

He is a loser

He hates West claiming ndio waliochangia yeye kutoswa madaraka...infact ni his own weakness akatafuta pa kusingizia

Hivyo his views ,ni,well,usual suspect,against US!

Pili,awe Urusi au US,ni kifo tu

You are naive!

Ni kwamba umetoa baradhuli moja umeweka baradhuli jingine...Hakuna ukombozi wa chochote hapo

Tena ni heri US walao dunia majority tuna follow democracy thanks to the US...System ya dunia ni open,rule of law,etc

Eti leo nimekaa TZ namtukana Putin kwenye twitter nakuja kushikwa na FSB naenda kukatwa shingo kwenye Kremlin Square bila hata due process au mahakamani

Nani anataka system hovyo namna hiyo za kidikteta!
 
Toa upumbavu wako hapa,, marekani ndio alioutengeneza ukimwi na kutuletea. Usidanganywe na dawa marekani hana nia njema zaidi ya maslahi yake
Duh

Marekani kajenga ukimwi yeye na hii conspiracy unaiamini?

Like really?

Na China kajenga COvid-19,unaamini hilo?

You have a problem....

Hebu ongelea vitu proven hapa,acha conspiracies...unfounded claims..with no evidence!
 
UliPokuwa unaomba uhuru na kujitawala ulifanya hivyo kwa kazi gani kama still ujajiPanga kujitegemea?

China na Urusi wako sahihi na ndio maana wamefikia level ya juu kabisa ya standards za maisha.

Magharibi hawataki tujitambue na kusimama kwa miguu yetu wenyewe maana kimsingi kuna mengi sana ambayo wananufaika nayo kuPitia ignorance tuliyo nayo.
 
Watu wanaiba madini na rasilimali.worth trillions halafu watanzania wanakufa njaa mahali. Serikali inajiondoa kwenye Equation. Huo uPumbavu utaondolewa na warusi sasa baada ya magharibi kushindwa.

Tunahitaji balance of Power ya kweli sasa. Mwenye shida aje anunue anachokitaka kwa Pesa yetu ili uchumi uimarike. Sio mtu anadhulumu madini ya billion 7OO halafu anawajengea vyoo vya milion 5O mnamuona mtu wa maana.😁😁😁
 
Urusi na China wameivamia nchi ipi? Wao wanakuuzia huduma, bidhaa na kununua za kwako kwa makubaliano, hawakulazimishi kununua Wala kuuza, ni hiari yako. Lakini Magharibi wanapora kwa nguvu. Mizozo yote huko Congo, Mali, Iraq, Libya, Syria, Afghanistan, Vietnam, Pakistan, Africa ya Kati, Ethiopia, Sudan, Yemen, hongkong, nk ni Magharibi tyuuu kutaka kupora kwa nguvu kupitia NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…