Putin asaidiwe kuikomboa dunia dhidi ya nchi chache za Magharibi

Walipora nusu ya robo tu yaani walipora asilimia 10 tu ya mali kwa maendeleo yote uyaonayo ulaya, but still 90 ya mali bado ipo nyingi tu afrika na haijatumika, ni wajibu wetu tu sisi waafrika tuzitumie tuwe na maendeleo kuwazidi wao.
Mfano mali zilizopo wilaya moja tu nchini unaweza ukalipa deni la taifa na kufanya maendeleo makubwa, tatizo utayari ndo haupo.
 
Viongoz wa Africa ni wezi
Viongozi Africa ambao ni wezi wameingizwa madarakani na wanalindwa na Magharibi. Wezi wote wanatawala milele bila kukemewa na nchi za Magharibi kuhusu demokrasia. Viongozi ambao sio wezi hawadumu kwenye uongozi, watakufa au kulazimika kuondoka hata kabla ya muda wao kumalizika
 
Kwa maono ya karibu utaona uhusiki lakini kiuhalisia vita inatugusa hata sisi Afrika
 
Kaka hao viongozi wazuri wasio wezi kwa Mali za mataifa Yao tulikuwa nao kama vile Nyerere, Nkrumah, Lumumba, NEto, Mugabe, Gaddafi, Assad, Saddam, Haile Ras, nk lakini waliuawa na kuangamizwa. Nyerere alifungiwa na IMF, WB na Magharibi hadi ikabidi ang'atuke mwenyewe. Kaka hayuko salama hadi hapo tutakapo rejea kwenye dini zetu za asili. Hizi dini tulizonazo Sasa ni chanzo kikubwa Cha mateso yetu.
 
Kumbe ndiyo maana mkuu mpya wa JWTZ akachaguliwa? Sasa drones na Himars na Iskander tutazitoa wapi? Uturuki? Maana nasikia nchi nzima kuna mizinga 7 ya zamani na vifaru 14 tu nayo mikweche.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kweli?
 
Tayari KAZI imeshaanza wameshaanza kujiuzulu

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…