Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
Una uhakika gani?
 
KI
Putin ana akili kuliko wewe na babake mm achana na mm kabisa ,kuwa third world country sio kigezo cha kukosa akili ,labda useme mpaka leo amefanikiwa nini tangu aivamie Ukraine zaidi ya kujaza makaburi na sasa anaomba mamluki wa DPRK na iran hata juzi Naredra modi amemcha kuwa hawezi kufanikiwa hadi anakimbilia kwa kina Tulia Acksoni ,yule ni mjinga kama wewe tu

USSR
KINYAGO CHA CCM 😁😁 Putin anashangaa kukutana na SOKWE MTU WA CCM😁😁
 
Putin yuko very rational, NATO wamesign agreement ya kutoingia vitani na Russia hivi karibuni na pia wamesema wataepuka direct confrontation na Russia. Tatizo kuna watu wametufikisha hapa tulipofika na kurudi nyuma hawawezi kwa sababu wanaona aibu pia watakuwa responsible kwa strategy zao za kijinga hivyo wanatake risk on our expenses. Msishabikie vita ya Russia na NATO, know one knows war strength za NATO wala za Russia by the way sisi ndo tutakuwa victims. Simba na yanga tunaweza kushabia kuwa Simba leo anampiga yanga, its okay hata akipigwa simba no harm.
 
Walete walete hao Putin, waje kuwa wakimbizi huku kwetu, tulishawahi kuwahifadhi wapolishi wengi tu

1720815611580.jpeg
 
Putin anatoa maonyo mengi kwa sababu siku atakayo chukua hatua dhidi ya NATO kutakuwa vilio na kusaga meno kwa NATO...Hivyo maonyo mengi anayo toa kwa nato ni kunawa mikono kwao juu ya damu itakayo mwagika vibaya kwenye hizo nchi.
Alafu mwisho wa yote akisha ziangamiza nchi zote za ulaya atapata nini? Alafu huyo huyo anayesema nitaziangamiza nchi za ulaya ndio hao anawategemea awauzie gesi na mafuta ili uchumi wake ukae vizuri ukiangalia deep inside Putin ana mental depression baada ya kutengwa na westerners sema hawezi kusema in public juu ya haya mambo ila matendo yanaonesha ,anapenda awe pamoja na mataifa tajiri kiuchumi na kiteknolojia in good terms maana that is what means development, sasa urafiki na north Korea ,Venezuela, Belarus, Cuba ambao wote ni choka mbaya ,ila kwa kitendo hichi ni udhihirisho baada ya wazungu wezake kumgunya anataka consolation .
 
Futa hii comment nikununulie lamba lamba
 
Mbona hautaji washirika wengine wa Urusi kama China, India, Brazil, Hungary,Iran, South Africa afu kingine hao Western Wana ajenda zao za kishetani LGBT, NWO Urussi ndio anawatibulia kila wakipanga kuianzisha..mfano angalia vikwazo livyowekewa Urusi na bado uchumi wake unaendelea kustawi na anapigana vita kitu ambacho NATO hawakutarajia..sasa lengo lao kuigawa Urussi ili vipatikane vi Nchi vidogo vingi ili wanyonye rasilimali za Urusi kama gas mafuta na madini mengine kwa unyonyaji, kigingi ni Putin.
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Putin:

If Ukraine joins NATO , we will not wait a second to remove Ukraine and NATO from the map of the world.
 
Attachments

  • IMG_20240713_034046.jpg
    IMG_20240713_034046.jpg
    60 KB · Views: 1
⚠️BREAKING NEWS⚠️

The USA announced to keep long-range missiles in Germany.

Putin warned Germany not to repeat Cold war scene , otherwise, there will be direct confrontation with NATO and Germany.
 
Attachments

  • IMG_20240713_034602.jpg
    IMG_20240713_034602.jpg
    36.9 KB · Views: 1
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Putin:

Ukraine dances on tune of NATO, but Russia is ready to defeat whole NATO at once . Like, cremea , Ukraine will also loss its sovereignty as soon as possible.
 
Shida ya Putin ndo hiyo , akipiga nyuklia na yeye ameisha. Warusi wako tayari wateketee kisa wanataka mikoa 4 ya Ukraine? Hiyo ni sababu ndogo ya kusababisha vita ya 3 ya dunia. Pia siku nyingine atavamia nchi yoyote jirani halafu atishie nyuklia. USA, UK, France, wana nyukilia. Huwezi tishia nyuklia na wakati na wao wanazo nyuklia, anaona wazungu wa NATO ni waoga wa vita ndo maana anajaribu kutishia, mwenzake China hawezi kujiingiza kwenye vita vya nyuklia. Uzuri vita vya nyuklia havina mshindi atalipwa na wao watalipua, makombora yatakuwa yanapishana angani na baharini. Mwenye air defence system nzuri ndo atapona.Ila kuna uwezekano mkubwa wa Rusia kuwahi kuteketea kabla ya nchi zote za NATO, Africa tujiandae kupokea wakimbizi toka Rusia na Nchi za NATO
Ntapata mke wa pili wa ambaye sasa atakuwa mzungu
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

The USA announced to keep long-range missiles in Germany.

Putin warned Germany not to repeat Cold war scene , otherwise, there will be direct confrontation with NATO and Germany.
Jibwa bwekaji hili. Toothless barking dog
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Putin:

Ukraine dances on tune of NATO, but Russia is ready to defeat whole NATO at once . Like, cremea , Ukraine will also loss its sovereignty as soon as possible.
Makobaz ndo mnafurahi kinoma na hii fantasy story *****
 
Putin yuko sahihi! Kupiga ndani ya Russia maana yake ni kuivamia! Lazima Russia itajibu.
Nchi za Ulaya ndizo ziko kwenye risk kuliko US.
US anazitumia kama ngao kupambana na Russia.
Yeye mwenyewe si amevamia Ukraine?
 
Shida ya Putin ndo hiyo , akipiga nyuklia na yeye ameisha. Warusi wako tayari wateketee kisa wanataka mikoa 4 ya Ukraine? Hiyo ni sababu ndogo ya kusababisha vita ya 3 ya dunia. Pia siku nyingine atavamia nchi yoyote jirani halafu atishie nyuklia. USA, UK, France, wana nyukilia. Huwezi tishia nyuklia na wakati na wao wanazo nyuklia, anaona wazungu wa NATO ni waoga wa vita ndo maana anajaribu kutishia, mwenzake China hawezi kujiingiza kwenye vita vya nyuklia. Uzuri vita vya nyuklia havina mshindi atalipwa na wao watalipua, makombora yatakuwa yanapishana angani na baharini. Mwenye air defence system nzuri ndo atapona.Ila kuna uwezekano mkubwa wa Rusia kuwahi kuteketea kabla ya nchi zote za NATO, Africa tujiandae kupokea wakimbizi toka Rusia na Nchi za NATO
Umeongea kikubwa sana mkuu! 👊
 
Kama huna mwendo au mbiousichokoze nyuki. Kisha baadae ukaanza kusema sikujua nyuki wanaweza kung'ata.

Uliwahi kujiuliza NATO Ina wanachama 32 wanaoungana kijeshi kupigana na nani ambapo Hadi sasa mmojammpja hawawezi kumpiga?

Huyo unaeona Bado wanaona hawana uwezo wa kupigana na nae hivyo lazima waongeze wanachama zaidi ni URUSI.

Tambua Urusi si taifa dogo kwa Kila kitu,
Apigane vita vyake na ashinde.
Si sahihi kumfundisha adui wapi pa kukupiga.
 
Back
Top Bottom