Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

LGBT mnaumia sana mkisikia viongozi wenu wa US na Western wanaminywa visimi
Kila nikisikia wanaolawitiwa au kulawiti watoto hapa nchini nawakuta maostadhi na wavaa kobazi tuu. Mnapenda kufukuliwa mitaro halafu mnapakazia wengine umbwa nyie.

Kwanza siye wapagani hatuyataki hayo mauchafu yenu koumamaqe zenyu
 
Rafiki yangu usisome habari za vitabu vya kimagharibi na ukaweka kichwani Kwa gundi.....aliemaliza vita ni Russia,pindi vita ndo inaenda kutulia USA ndo akadondosha nuke,pia kumbuka awali lengo halikuwa kuzidondosha japan.
 
Kila nikisikia wanaolawitiwa au kulawiti watoto hapa nchini nawakuta maostadhi na wavaa kobazi tuu. Mnapenda kufukuliwa mitaro halafu mnapakazia wengine umbwa nyie.

Kwanza siye wapagani hatuyataki hayo mauchafu yenu koumamaqe zenyu
😂 Dah pole sana Ustaadh alikufukua mtaro kaka
 
Kila nikisikia wanaolawitiwa au kulawiti watoto hapa nchini nawakuta maostadhi na wavaa kobazi tuu. Mnapenda kufukuliwa mitaro halafu mnapakazia wengine umbwa nyie.

Kwanza siye wapagani hatuyataki hayo mauchafu yenu koumamaqe zenyu
😂
 
Thubutu USA NDIYO YUPO KWENYE RISK KUBWA ...kipigo kibaya kuliko vyote kitatua marekani ...pitia vita vya 2 vya dunia kuhusu urusi dhidi ya Germany na japani ....siku zote mrusi upiga kichwa cha JOKA SIYO MKIA
Wewe kichwa panzi tuuu. Vita ya Pili urusi alikuwa anapigana na Ujerumani na akasaidiwa na marekani. Kawadanganye watoto wa Leo na wasifatilia historia mpumbavu kabisa
 
Apigane vita vyake na ashinde.
Si sahihi kumfundisha adui wapi pa kukupiga.
Sio members wote wa NATO Wana nyuklia hivyo wataperish kwa sababu ya ndugu zao. Hivyo yanayotolewa ni angalizo TU ili wenye akili na kujitambua wachukue hatua. Lakini pia international community wasije kutoa lawama baadae. Haya yote ni makatazo.

Hata kwenye Iman tunafundishwa manabii walikuja kutuonya na kutuambia yatayofuatia tukuendelea kushupaza shingo zetu.
 
Aiangamize kwanza Ukraine ndio tuone iwe the litmus test lkn kwa hali ilivyo hadi sasa ni mikwara mbuzi ile ile tuliyozoea. Russia ni joka la kibisa tu.
 
NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
wacha wee...kwahiyo nyinyi raia kutoka nchi za NATO hamna wasi wasi kabisa na hii vita coz hakuna kiti kitakachotua hapo NATONI kwenu
 
Sio members wote wa NATO Wana nyuklia hivyo wataperish kwa sababu ya ndugu zao. Hivyo yanayotolewa ni angalizo TU ili wenye akili na kujitambua wachukue hatua. Lakini pia international community wasije kutoa lawama baadae. Haya yote ni makatazo.

Hata kwenye Iman tunafundishwa manabii walikuja kutuonya na kutuambia yatayofuatia tukuendelea kushupaza shingo zetu.
Sawa. Aendelee kumbomoa yukrein aliye "surrender" nyuklia zake kwake.
 
Putin ana mikwara sana alisema atakaeingilia nae atapigwa siraha za msaada zimeenda kibao muda huu anaanza kutishia Nyuklia kana kwamba yeye atakua kwenye Sayari...
 
Sawa. Aendelee kumbomoa yukrein aliye "surrender" nyuklia zake kwake.
Shida mkuu sio Ukraine Bali waliopo nyuma yake kumbuka alishakubali kusurrender yaishe. UK na USA plus west walimkataza na kumwambia watampigania Hadi mwisho. Walijua wanamshijda Urusi kirahisi. Ndio maana Zelensky haoni aibu kueaambia wampe silaha za kutosha maana ndio Hadi walizompa. Wanashindwa kusimamisha vita maana Zelensky atawaumbua kwani kapoteza eneo lake lenye ukubwa karibu sawa na UK yote, askari wake wamekufa, sanctions hazijasaidia zaidi zimewafanya maskini.
 
Huo ni ujanja wa vita ashambulie mara ngapi ndani ya Russia, mbona mnakuwa waoga kama ukrane amevumilia kushambuliwa ndani ya ardhi yake kwanini Russia awe muoga na anajifanya ana mbinu na uwezo,yanamkuta tu

USSR

N
Madhara ya kukaza fuvu dhidi ya Russia ni kuangamia wewe na kizazi chako
 
Attachments

  • IMG_20240713_045837.jpg
    IMG_20240713_045837.jpg
    155.3 KB · Views: 1
Shida mkuu sio Ukraine Bali waliopo nyuma yake kumbuka alishakubali kusurrender yaishe. UK na USA plus west walimkataza na kumwambia watampigania Hadi mwisho. Walijua wanamshijda Urusi kirahisi. Ndio maana Zelensky haoni aibu kueaambia wampe silaha za kutosha maana ndio Hadi walizompa. Wanashindwa kusimamisha vita maana Zelensky atawaumbua kwani kapoteza eneo lake lenye ukubwa karibu sawa na UK yote, askari wake wamekufa, sanctions hazijasaidia zaidi zimewafanya maskini.
Badoo sioni haki ya Urusi kumchagulia Ukraine nani wa kufungamana naye.
 
NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
Yaani Putin ni mjinga kweli. Anadhani ni yeye tu mwenye nyuklia?
 
Back
Top Bottom