Putin atia saini agizo la kuruhusu vigezo zaidi vya matumizi ya silaha za nyuklia

Putin atia saini agizo la kuruhusu vigezo zaidi vya matumizi ya silaha za nyuklia

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia

Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha

========================================================

Russian President Vladimir Putin on Tuesday lowered the threshold for a nuclear strike in response to a broader range of conventional attacks, and Moscow said Ukraine had struck deep inside Russia with U.S.-made ATACMS missiles.

Putin approved the change days after two U.S. officials and a source familiar with the decision said on Sunday that U.S. President Joe Biden's administration allowed Ukraine to use U.S.-made weapons to strike deep into Russia.

Russia had been warning the West for months that if Washington allowed Ukraine to fire U.S., British and French missiles deep into Russia, Moscow would consider those NATO members to be directly involved in the war in Ukraine.

The updated Russian nuclear doctrine, establishing a framework for conditions under which Putin could order a strike from the world's biggest nuclear arsenal, was approved by him on Tuesday, according to a published decree.

Source: Reuters
 
Hakuna kiongozi wa ulaya anayetamani nuclear kutua sebuleni kwake, ndiyo maana chancellor wa ujerumani kataka amani na putin
Unadhani putin anataka nuclear kutua kwake. Yeye mwenyewe anajua outcome, anachofanya ni intimadation tacticts lakini in reality hakuna ambae anataka kutumia hiyo kitu, hakuna upande uta survive
 
Hakuna kiongozi wa ulaya anayetamani nuclear kutua sebuleni kwake, ndiyo maana chancellor wa ujerumani kataka amani na putin
huyo chancelor yuko kwenye hatihati ya kuenguliwa kwenye uchaguz mwaka huu ,alikua anajipendekeza mno kwa putin west hawamtak,
 
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia

Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
Sioni Russia akitumia nuclear dhidi ya Ukraine. Zaidi ataendelea kuwauwa wa ukraine kwa silaha nyengine.
 
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia

Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
Tulia wewe huyo putin ashapasha moto sana hizo nyuke lakini kufyatua anaogopa mwaka wa 3 sasa, putin 10 shika 1, nuclear hanazo peke yake jamaa washamtamthmini kama achapika.
 
Putin hii vita ishamshinda ila kwa kuwa ana asili ya ujeuri anaona aibu kurejea nyuma. Kwa mkwala alioanza nao hakutarajia kama angefika muda huu hajakamilisha huo upuuzi wake anaoita special mission. Wanajeshi wake wamekufa kwa mamia mpaka anaazima wa kwa Kim. Sasa ruhusa ya Biden jana target yake kubwa ni hao wafumba macho kutoka kwa Kim
 
Russia imeshaanza kuchakazwa 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍

Ukraine fired missiles at Russia for the first time with Biden's permission. "Today, for the first time in history, the AFU struck a military facility on Russian territory with US ATACMS missiles."
1732015553725.jpg
 
Back
Top Bottom