Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Unaweza kufafanua neno kushindwaPutin hii vita ishamshinda ila kwa kuwa ana asili ya ujeuri anaona aibu kurejea nyuma. Kwa mkwala alioanza nao hakutarajia kama angefika muda huu hajakamilisha huo upuuzi wake anaoita special mission. Wanajeshi wake wamekufa kwa mamia mpaka anaazima wa kwa Kim. Sasa ruhusa ya Biden jana target yake kubwa ni hao wafumba macho kutoka kwa Kim
Yes it is.Russia imeshaanza kuchakazwa 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍
Ukraine fired missiles at Russia for the first time with Biden's permission. "Today, for the first time in history, the AFU struck a military facility on Russian territory with US ATACMS missiles."View attachment 3156080
Hao kunguni wa nato wanavyopenda maisha,ni waoga kuliko putinKwani Putin anatamani nuclear sebuleni kwake??
Acha kudanganya rafiki, kama isingewahi kutumika tungeamini usemayo, US keshayatumia Wajapan wapo wanadunda na bado wanamwaga MATOYOTA kila siku na nchi yao ni ndogo mno sembuse Russia ilivyo kubwa wasinusulike!!.Unadhani putin anataka nuclear kutua kwake. Yeye mwenyewe anajua outcome, anachofanya ni intimadation tacticts lakini in reality hakuna ambae anataka kutumia hiyo kitu, hakuna upande uta survive
it seems hujui at what condition aliyatumia na baada ya kuyatumia mikataba iliyo kuwa made between US na japan.Acha kudanganya rafiki, kama isingewahi kutumika tungeamini usemayo, US keshayatumia Wajapan wapo wanadunda na bado wanamwaga MATOYOTA kila siku na nchi yao ni ndogo mno sembuse Russia ilivyo kubwa wasinusulike!!.
Wapigie simu kumbe kunanjia rahisi ya kumaliza vita.Dawa ya Putin ni kumuua tu, na vita itaisha siku hiyohiyo!
it seems hujui at what condition aliyatumia na baada ya kuyatumia mikataba iliyo kuwa made between US na japan.
Madhara waliyo yapata japan mpaka leo
Kasome upya tena, ile si mizinga unajipigia tu, ku set of rules and conditions
‼️BREAKING:Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
Kursk ni rusia piaAmeruhusu ila zitumike ndani ya Kursk pekee, watu tunafuatilia huu mgogoro 24/7 acha kupotosha.
BREAKING:Tulia wewe huyo putin ashapasha moto sana hizo nyuke lakini kufyatua anaogopa mwaka wa 3 sasa, putin 10 shika 1, nuclear hanazo peke yake jamaa washamtamthmini kama achapika.
Sipendi mijadala na watu wenye akili ndogo/ufahamu mdogo wa mambo.Kursk ni rusia pia
Mrusi haogopi vita,,,wanaoogopa kuguswa kwao ni wamagharibi ndo maana wanapendaga sana proxy wars watumie nchi za wengine kupigana vita zao ,mrusi utamgusa ila pia na wewe uwe na uhakika kabisa kwako atakufikia,......hayo mambo nchi nyingi za magharibi hawatakiUnadhani putin anataka nuclear kutua kwake. Yeye mwenyewe anajua outcome, anachofanya ni intimadation tacticts lakini in reality hakuna ambae anataka kutumia hiyo kitu, hakuna upande uta survive
Sawa kamuueDawa ya Putin ni kumuua tu, na vita itaisha siku hiyohiyo!
Wamepiga ndan ya Russia sio kurskSipendi mijadala na watu wenye akili ndogo/ufahamu mdogo wa mambo.
Ungekuwa na ufahamu juu ya huu mgogoro ungeelewa kwanini nimesema mji wa Kursk pekee ndani ya Russia.
Walau ungeuliza kwanini nimesema Kursk basi!
Sipendi mijadala na watu wenye akili ndogo/ufahamu mdogo wa mambo.
Ungekuwa na ufahamu juu ya huu mgogoro ungeelewa kwanini nimesema mji wa Kursk pekee ndani ya Russia.
Walau ungeuliza kwanini nimesema Kursk basi!
Anadhan wenzake hawana hzo nyukliaSerikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
Russia haogopi Vita???Mrusi haogopi vita,,,wanaoogopa kuguswa kwao ni wamagharibi ndo maana wanapendaga sana proxy wars watumie nchi za wengine kupigana vita zao ,mrusi utamgusa ila pia na wewe uwe na uhakika kabisa kwako atakufikia,......hayo mambo nchi nyingi za magharibi hawataki
Tunasubiri tuone vita vya nuclear tulisimuliwa vya Hiroshima na Nagasaki sasa watakao salimika watasimulia vyema sio ushabikiWamepiga ndan ya Russia sio kursk
Ukraine fires US-supplied longer-range missiles into Russia, Moscow says
Missiles targeted an ammunitions depot in Bryansk region, Moscow says, with Foreign Minister Lavrov saying the US wanted to escalate the conflict.bbc.com
Ukraine na mshirika wake(serekali ya biden) wameshajua kwamba, iwe iwavyo, trump akiingia madarakani, ni lazima atafosi mazungumzo baina ya putin na zele.Sipendi mijadala na watu wenye akili ndogo/ufahamu mdogo wa mambo.
Ungekuwa na ufahamu juu ya huu mgogoro ungeelewa kwanini nimesema mji wa Kursk pekee ndani ya Russia.
Walau ungeuliza kwanini nimesema Kursk basi!
Angekua analamba miguu wamagharibi kwa kila vikwazo/vitisho wanavyompa,,,,,,uzuri hawajui kuwanyenyekea hao wamagharibi kama watu/mataifa mengine...................kikubwa wapige tu hadi moscow mambo yaharibike zaidi vita ya 3 ianze,, sie wa buza tunangoja kucheki muvi tena hii itakua nzuriRussia haogopi Vita???