Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hamna kazi za kufanya ?Ameruhusu ila zitumike ndani ya Kursk pekee, watu tunafuatilia huu mgogoro 24/7 acha kupotosha.
Hizi habari tushazizoea tangu mwanzoni kabisa mwa vita hakuna cha ajabu‼️BREAKING:
Hii ni kwa yeyote atakeshambulia Urusi au Belarus
🇷🇺 The president of the Russian Federation, Vladimir Putin has just given orders for the use of Nuclear weapons in events of a conventional western backed attack by Ukraine on Russia or Belarus.
Ikiwa Ukraine ameikamata Kursk mpaka sasa kwa silaha za kawaida bila kutumia heavy weapons, basi Russia ni jeshi la kawaida tu ila tofauti ni kwamba wana Nuclear weapons.Ukraine na mshirika wake(serekali ya biden) wameshajua kwamba, iwe iwavyo, trump akiingia madarakani, ni lazima atafosi mazungumzo baina ya putin na zele.
Jimbo la kursk ni karata nzuri sana katika mazungumzo yao, hivyo zele na Biden wanataka watumie hiki kipindi kidogo cha Biden kilichobaki, kuikamata kursk atleast hata trump akiingia madarakani wao na kuleta mambo ya mazungumzo, jimbo la kursk litakua chini ya ukraine
Putin ni maneno mengi ila uthubutu wa kusimamia maneno yake hana!Putin ana Mikwala Sana, akiona Kuna Viashalia vya kumpiga Mande...
Basi kesho anaitisha Press, anawaambia Makamanda kesho anzeni kufuta Vumbi silaha zetu za Nyuklia.
Western na USA wakisikia hivyo, wanatulia kwanza...! Sasa naona wameshampimia wamemuona anajaa mkononi, USA karuhusu Ukraine atumie Missile zinaenda Umbali mrefu...!
Jana Ukraine kaanza kuachilia Vyombo ueleo ndani ya Russia, naye Putin akaanza kufunga Mitaani Vifaa vya kuwakinga Raia wake dhidi ya Mionzi ya Nyuklia.
Sahihi.. Mikwala yake imesaidia kuchelewa kushambuliwa...!Putin ni maneno mengi ila uthubutu wa kusimamia maneno yake hana!
Binafsi nilikuwa namuona jembe sana ila kwa sasa naanza kumtilia mashaka! Ana mikwara mingi sana!
Na kitu kingine ulichokisahau kuhusu mikwara ya Putin kusaini waraka kuhusu matumizi ya nuclear. Leo ataxia waraka huu! Kesho kutwa mwengine n.k
Hahahaha 🤣 🤣 🤣Putin ana Mikwala Sana, akiona Kuna Viashalia vya kumpiga Mande...
Basi kesho anaitisha Press, anawaambia Makamanda kesho anzeni kufuta Vumbi silaha zetu za Nyuklia.
Western na USA wakisikia hivyo, wanatulia kwanza...! Sasa naona wameshampimia wamemuona anajaa mkononi, USA karuhusu Ukraine atumie Missile zinaenda Umbali mrefu...!
Jana Ukraine kaanza kuachilia Vyombo ueleo ndani ya Russia, naye Putin akaanza kufunga Mitaani Vifaa vya kuwakinga Raia wake dhidi ya Mionzi ya Nyuklia.
Sasa gaza imebaki nini pale mmebaki kujifajiri tu na kulia lia mauaji ya kimbariKwahiyo Biden akiruhusu hizo silaha kufika Russia ndio Ukraine atashinda?
Mbona anampa Israel kila aina ya silaha ila mpaka leo wameshindwa kuwamaliza Hamas wala kurudisha mateka wao?
Ndio waje kuweza kwa Russia?
Wafia dini wanavyomteteaga putin utafikiri mtume waoSerikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
Tumia akili japo kidogo tu,Sasa gaza imebaki nini pale mmebaki kujifajiri tu na kulia lia mauaji ya kimbari
wenzake hao akina nani?Hata wenzake nao pia wanazo silaha za Nyuklia.
Duuh kumbe Kursk mpaka Leo Iko mkononi mwa Ukraine?Ikiwa Ukraine ameikamata Kursk mpaka sasa kwa silaha za kawaida bila kutumia heavy weapons, basi Russia ni jeshi la kawaida tu ila tofauti ni kwamba wana Nuclear weapons.