Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

Ilichukua muda gani tangu Hitler afanye hicho kitendo?
Tunataka tupime na kwa Russia muda wake wa kushindwa hiyo operation ya Ukraine
 
Nigeria mafuta yapo kusini. Waislam wapo kaskazini. Get your facts straight.
 
Putin Ni mpumbafu Sana yey ndio kasababisha mdodoro wa uchumi duniani

Covid imetoka tukasurvive hatujaa kaa sawa puttin anapeleka wanajeshi laki moja mpakani mwa ukraeni Kama vile uatani sas HV Ni Vita siku 130 imekata na bado ndio Kwanza Vita ipo ktk initially stage
 
Putin anajikuta mjanja sana, ameona katengwa, sasa amegeukia sympathy ya dini, na kwl ataipata ila haitamsaidia.
Putin anatafuta uungwaji mkono kwenye ulimwengu wa kiislamu.....anachanga karata zake kwa makini.
 
Russians wengi wanaamini kwenye Orthodoxism, ni aina ya ukristo ambao siyo huu tulio nao kwetu. Nafikiri hata Putin imani yake iko humo.
 
Putin hana haki ya kutoa mdomoni kwake chenye maana muuaji mkubwa... kumsikiliza Putin ni sawa na kumsikiliza Shetani eti akitoa maneno ya busara... akasome vizuri Koran inasema nini kwa wasio Waislam... na ajue India kule Waislam walijitenga na kuunda nchi yao wakajiita pakistan ili india ibaki na Hindu na dini zingine like Christians na wao Muslim wawe na Muslim country kama waarabu Pakistan so Muslim hana haki ndani ya India sababu marishiano yalifanyika kwa haki
 
Nigeria mafuta yapo kusini. Waislam wapo kaskazini. Get your facts straight.
Hilo eneo litakiwa likikuwa la Waislam,Mungu kawaahidi kiwalinda Waislam kwa utajiri wa rasilimali alizoziumba,hayo yameandikwakwenye katika kitabu cha Quran.
 
Hilo eneo litakiwa likikuwa la Waislam,Mungu kawaahidi kiwalinda Waislam kwa utajiri wa rasilimali alizoziumba,hayo yameandikwakwenye katika kitabu cha Quran.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waislam bwana
 
Hivi watu mnachukulia poa sana biashara ya mafuta eti!! mafuta ni bidhaa inayouzika kokote kule... akikataa India kuna makampuni mengi yanafanya biashara hata isyo halali yatanunua tu na kuuza huko India na Ulaya..
Watu wanachukulia biashara ya mafuta kama kuku wa KFC au njegele za mbeya zikfka sokon zimeoza unatupa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Waislam bwana
Habari ndio hiyo,soma aya za Quran utajionea mwenyewe vipi Mungu ameahidi kuwalinda Wenye imani ya Kiislam..

Wese Mungu kalimwanga maeneo yanayokaliwa na Waislam kwa wingi..
 
Habari ndio hiyo,soma aya za Quran utajionea mwenyewe vipi Mungu ameahidi kuwalinda Wenye imani ya Kiislam..

Wese Mungu kalimwanga maeneo yanayokaliwa na Waislam kwa wingi..
Kwahiyo mafuta ni ya Waislam tu siyo[emoji23]
 
Ilichukua muda gani tangu Hitler afanye hicho kitendo?
Tunataka tupime na kwa Russia muda wake wa kushindwa hiyo operation ya Ukraine
Hitler alisurvuve miaka mitatu on peak then akaanz kurudishwa nyuma
 
Haya muda wa mazombi kwenda kujiunga kwenye jeshi la Urusi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…