Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.

Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na washirika wake.

Putin, Yesu na dini ya Roman catholic inakashfiwa na Waislam kibao lakini hajawahi kukemea wala kulaani hadharani namna hii, Putin ameteketeza makanisa na Wakristo kibao Mariupol Ukraine licha ya Papa kumuomba asifanye hivyo.

India ambayo zaidi ya 78.9% ni Hinduism, baada ya kumtusi mtume mohammad, Putin ameibuka haraka na kulaani. Najua amefanya hivyo ili kupata sapoti ya Waislam na nchi za Kiislamu ulimwenguni.

Putin anatafuta uungwaji mkono kwa kutumia dini, anaona ametengwa na dunia.

Baada ya kasoro hizi za kidiplomasia Kati ya Urusi na India zilizoanza kujitokeza, je soko la mafuta alilokusudia kulipata india hapo badae, baada ya nchi EU kutangaza Kuachana na gesi na mafuta yake halitaathiriwa?

Ikumbukwe msuguano huu baina ya India na UEA, ulianza mapema December 2021.
_________________

Nabii Muhammad: Putin atuma ujumbe kwa India baada ya kumtusi Mtume Mohammad

Mataifa ya kiarabu yamelaani vikali matamshi yenye utata yaliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India BJP Nupur Sharma kumuhusu Mtume Muhammad, kulingana na mitandao ya kijamii , na Rais wa Urusi Vladimir Putin pia ameelezea kutofurahishwa kwake na matamshi yenye utata kumuhusu Mtume Mohammad katika serikali ya India.

Kauli za Putin zimesambazwa sana katika mitandao ya kijamii nchini India pamoja na nchi za Kiarabu kwa kipindi cha saa 24 zilizopita baada ya Putin aliyeishauri India wakati wa mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari, alisema, "Matusi dhidi ya Mtume Mohammad ni ukiukaji wa uhuru wa dini na kuwakashifu Waislamu. "

Kauli za Bw Putin zimesambazwa pakubwa katika mitanda ya kijamii hususan Twitter, ambapo zimeshirikishwa zaidi ya mara 50,000 nchini India na katika Ulimwengu wa Kiarabu.

Nini alichosema awali Putin kuhusu Uislamu na Mtume Muhammad.

Kulingana na taarifa za vyombo vya habari, Rais wa Urusi Vladimir Putin, katika mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari Disemba 23 mwaka jana, alisema taarifa kuhusu kibonzo tata cha Charlie Hebdo nchini Ufaransa.

Alisema kuwa: "Sio sehemu ya sheri aya uhuru wa kuzungumza kwamba kila mmtu anafikiri anaweza kuelezea maoni yake vyovyote atakavyo."

"Matusi dhidi ya Mtume yanakiuka uhuru wa kuabudu na kukiuka hisia za Waislamu ," Putin alinukuliwa na Shirika la habari la Urusi TASS.
Rais Putin amesisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kusababisha ulipizaji kisasi wa makundi yenye itikati kali kama vile shambulio dhidi ya ofisi za gazeti la Charlie Hebdo mjini Paris baada ya kuchapisha vibonzo vilivyodaiwa kumdhalilisha Mtume Mohammad.
Aliwataka watu wa Urusi kuheshimu tamaduni na dini za kila mmoja wao, na kuongeza kuwa nchi yake ni "tofauti sana" na tofauti na maeneo mengine ya duniani.

Milki za Kiarabu (UAE), Oman, Indonesia, Iraq, Jordan, the Maldives, Bahraine, Libya na Bahrain ni miongoni mwa nchi zilizokokatika orodha ya Mataifa ya Kiarabu ambazo zimelaani kauli iliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala cha India.

Mapema, taarifa hiyo ililaaniwa na Kuwait, Iran na Qatar na kuwaita mabalozi wa India kuelezea hasira yao. Saudi Arabia pia ililaani taarifa hiyo Jumatatu wiki hii.

Wanadiplomasia wa India wamejaribu kutuliza hasira ya matataifa haya ya Kiarabu, kwani wana mahusiano ya kirafiki ya muda mrefu nan chi hizi - lakini juhudi zao zimeishia patupu.

Nupur Sharma,ambaye ni Msemaji rasmi wa chama tawala cha Bharatiya Janata (BJP), alitoa kauli hizo kwenye mdahalo wa televisheni, na afisa mkuu wa habari wa chama hicho Naveen Jindal, akatuma kauli hiyo kwenye mtandao wa Twitter.

Kauli hizi hususan za M Sharma - zimewaudhi hususan Waislamu ambao ni wachache nchini India, na kuibua maandamano katika maeneo mbali mbali katika baadhi ya majimbo.

Maafisa wawili walitoa taarifa ya kuomba msamaha na chama kikamsimamisha kazi kwa muda Sharmaa.

Chanzo BBC, Aljazeera, Reuters

View attachment 2254268

Mnahangaika sana na bwn Putina!
 
Ndo ashatukanwa sasa mtafanya kile qoran imewaamrisha?
Jaribuni wahindu wawatoe marinda
Mimi sina dini usijisumbue hata wakimtukana mudi au yesu mm siusiki hapo ...mm najua mungu yupo ila binafsi sina dini sijawai kwenda msikitini wala kanisani wala kwa mganga wa kienyeji maisha yangu yote hata siku moja
 
Anatafuta huruma ya waislamu na sapoti ya makundi ya kigaidi.
 
Umeandika pumba Sana hakuna binadamu anayeweza kumuwajibisha Putin hapa duniani.wakati magharibi wanapigia kampeni mambo ya ovyo kama ushoga.putin akilaani watu wanaoua watu wenzao Lisa dini zao unasema kakosea.mimi ni mkristo na Putin ni mkristo na ukristo umegawanyika sehemu mbili ukristo wa mashariki na Wa magharibi huu ambao wamagharibi ambao wanauharibu Kwa kuingiza ushoga.kwa hiyo wamagharibi wakisapoti ushoga wako Sawa ila Putin akikemea uuaji wa watu ovyo kisa dini yako unasema anatafuta kuungwa mkono nyie wasapoti ushoga bwana.
km Napoleon alieza kuwajibishwa , Putin ni nan ? kiongoz wa taifa dhaifu tu ambalo lina migawanyiko ndan yke tyr
 
Ndio akili zako za kufikiri zimeishia hapo?

Wachina wanaoshirikiana na Urusi ni waislamu? Nijibu we giningi wa upareni

Wahindi na India yote dini Yao ni Uhindu na vimbwanga vingine, waislamu Wana kadiliwa kuwa 200 Milioni kati ya watu 1.3billioni yaani kifupi waislamu ni 15.38% ya watu,
Je wenyewe ni waislamu?

Nchi nyingi za Afrika zinasupoti anachofanya Mrusi, je ni nchi za kiislamu?

Mexico, Venezuela,Nicaragua, Cuba na Colombia zimejaza waislamu ndio maana wanamuunga Putin?

Central Africa Republic nayo ni Jamhuri ya kiislamu?

Kweli ukisikia baba ameuza ng'ombe mnadani ili aipeleke ng'ombe ingine shule[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] shubaamiti
upo OP kbs , umejibu kimahaba wala hujaishirikisha akili yako , hoja ya jamaa hajasema kuwa Putin anategemea sapoti ya waislamu tu ,, elewa acha uzuzu
 
Hapo kwenye utatu mtakatifu chenga sana. Yahani kuna baba, mwana na roho. Alafu tunapigwa kwa kuambiwa hao wote watatu ni mtu mmoja. Ukiuliza mwana ni nani unaambiwa ni Yesu. Ukiuliza kwahiyo Yesu ndiye mingu mwenyewe? Hapo itabidi dini ichanganyike na siasa kwa stori utakazopigwa
jiulize Mudi alitoa wap haki ya kuendesha vita vya kumpigania mungu , je huyo mung wenu hana uwezo wa kujipigania ?
 
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.

Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na washirika wake.

Putin, Yesu na dini ya Roman catholic inakashfiwa na Waislam kibao lakini hajawahi kukemea wala kulaani hadharani namna hii, Putin ameteketeza makanisa na Wakristo kibao Mariupol Ukraine licha ya Papa kumuomba asifanye hivyo.

India ambayo zaidi ya 78.9% ni Hinduism, baada ya kumtusi mtume mohammad, Putin ameibuka haraka na kulaani. Najua amefanya hivyo ili kupata sapoti ya Waislam na nchi za Kiislamu ulimwenguni.

Putin anatafuta uungwaji mkono kwa kutumia dini, anaona ametengwa na dunia.

Baada ya kasoro hizi za kidiplomasia Kati ya Urusi na India zilizoanza kujitokeza, je soko la mafuta alilokusudia kulipata india hapo badae, baada ya nchi EU kutangaza Kuachana na gesi na mafuta yake halitaathiriwa?

Ikumbukwe msuguano huu baina ya India na UEA, ulianza mapema December 2021.
_________________

Nabii Muhammad: Putin atuma ujumbe kwa India baada ya kumtusi Mtume Mohammad

Mataifa ya kiarabu yamelaani vikali matamshi yenye utata yaliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India BJP Nupur Sharma kumuhusu Mtume Muhammad, kulingana na mitandao ya kijamii , na Rais wa Urusi Vladimir Putin pia ameelezea kutofurahishwa kwake na matamshi yenye utata kumuhusu Mtume Mohammad katika serikali ya India.

Kauli za Putin zimesambazwa sana katika mitandao ya kijamii nchini India pamoja na nchi za Kiarabu kwa kipindi cha saa 24 zilizopita baada ya Putin aliyeishauri India wakati wa mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari, alisema, "Matusi dhidi ya Mtume Mohammad ni ukiukaji wa uhuru wa dini na kuwakashifu Waislamu. "

Kauli za Bw Putin zimesambazwa pakubwa katika mitanda ya kijamii hususan Twitter, ambapo zimeshirikishwa zaidi ya mara 50,000 nchini India na katika Ulimwengu wa Kiarabu.

Nini alichosema awali Putin kuhusu Uislamu na Mtume Muhammad.

Kulingana na taarifa za vyombo vya habari, Rais wa Urusi Vladimir Putin, katika mkutano wake wa mwaka na waandishi wa habari Disemba 23 mwaka jana, alisema taarifa kuhusu kibonzo tata cha Charlie Hebdo nchini Ufaransa.

Alisema kuwa: "Sio sehemu ya sheri aya uhuru wa kuzungumza kwamba kila mmtu anafikiri anaweza kuelezea maoni yake vyovyote atakavyo."

"Matusi dhidi ya Mtume yanakiuka uhuru wa kuabudu na kukiuka hisia za Waislamu ," Putin alinukuliwa na Shirika la habari la Urusi TASS.
Rais Putin amesisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kusababisha ulipizaji kisasi wa makundi yenye itikati kali kama vile shambulio dhidi ya ofisi za gazeti la Charlie Hebdo mjini Paris baada ya kuchapisha vibonzo vilivyodaiwa kumdhalilisha Mtume Mohammad.
Aliwataka watu wa Urusi kuheshimu tamaduni na dini za kila mmoja wao, na kuongeza kuwa nchi yake ni "tofauti sana" na tofauti na maeneo mengine ya duniani.

Milki za Kiarabu (UAE), Oman, Indonesia, Iraq, Jordan, the Maldives, Bahraine, Libya na Bahrain ni miongoni mwa nchi zilizokokatika orodha ya Mataifa ya Kiarabu ambazo zimelaani kauli iliyotolewa na Msemaji wa zamani wa chama tawala cha India.

Mapema, taarifa hiyo ililaaniwa na Kuwait, Iran na Qatar na kuwaita mabalozi wa India kuelezea hasira yao. Saudi Arabia pia ililaani taarifa hiyo Jumatatu wiki hii.

Wanadiplomasia wa India wamejaribu kutuliza hasira ya matataifa haya ya Kiarabu, kwani wana mahusiano ya kirafiki ya muda mrefu nan chi hizi - lakini juhudi zao zimeishia patupu.

Nupur Sharma,ambaye ni Msemaji rasmi wa chama tawala cha Bharatiya Janata (BJP), alitoa kauli hizo kwenye mdahalo wa televisheni, na afisa mkuu wa habari wa chama hicho Naveen Jindal, akatuma kauli hiyo kwenye mtandao wa Twitter.

Kauli hizi hususan za M Sharma - zimewaudhi hususan Waislamu ambao ni wachache nchini India, na kuibua maandamano katika maeneo mbali mbali katika baadhi ya majimbo.

Maafisa wawili walitoa taarifa ya kuomba msamaha na chama kikamsimamisha kazi kwa muda Sharmaa.

Chanzo BBC, Aljazeera, Reuters

View attachment 2254268

Sasa ulitaka awasifie hao wahindi? kule Russian federation kuna waislamu wengi ambao ni raia wa Urusi, hivyo hakuna ubaya Putin kutoa maoni yake, halafu kuhusu kupiga makanisa mbona hata Syria kule Putin alisambaratisha misikiti!!! vita haina macho
 
Kama hakuna ubaya, kwa nini hajalaani mauaji ya watu huko kanisani Nigeria
Kule Nigeria angemlaani nani watu wenyewe wahuni wale wauaji, lakini yule wa India ni kiongozi mkubwa sana
 
Pramila Patten, afisa wa UN, ambaye anahudumu kama Mwakilishi Maalum wa UN kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia katika Mizozo na Naibu Katibu Mkuu wa UN asema kuwa shutuma za askari wa [emoji635] kubaka wanawake huko Vinnytsia na Zakarpattier ni Uongo sababu Wanajeshi hawakuwepo maeneo ayo. https://t.co/wr7qD8XSsL
 
Hakuna ubaya, ila makosa ya kiufundi, kwa nini ameua Wakristo Mariupol, kwa RC wanapokashfiwa hajawahi kulaani, Najua amefanya ili mumuunge mkono, endeleeni Kumuunga Mkono, lakini ndo hivyo huenda India isinunue mafuta ya Urusi, kwhy atayala mwnyew au awauzie nyie UEA.
Kwahiyo unamaanisha Putin kaingia Ukraine hili awafurahishe na kuungwa mkono na waislamu
 
Back
Top Bottom