Putin azidhibiti nchi za Magharibi kuingilia vita nchini Ukraine

Putin azidhibiti nchi za Magharibi kuingilia vita nchini Ukraine

Amethibiti vipi wakat Kila siku silaha zinaingia Ukraine kutoka nje.
 
Anawaalika wakati yeye kajifungia Kremlin anakula kuku...wanaokufa watoto wa masikini waliokuwa jeshini.
Binadamu wanahitaji hofu ya Mungu...
Hiyo ndo kazi yao alafu tambua kuwa jeshi halilei kufa ni ajali kazini
 
Kwani kuipa makombola Ukraine na silaha nyingine sio kuingilia,mbona hajawafanya kitu na kila wakati amejitahidi kurusha makombola ndani ya Ukraine bila hata moja kugusa nchi za NATO
 
Kwani kuipa makombola Ukraine na silaha nyingine sio kuingilia,mbona hajawafanya kitu na kila wakati amejitahidi kurusha makombola ndani ya Ukraine bila hata moja kugusa nchi za NATO
Kwani nchi za NATO zipo ndani ya UKRAINE
Kwanini nchi za NATO hazirushi kombora likagusa RUSSIA
 
Kwani nchi za NATO zipo ndani ya UKRAINE
Kwanini nchi za NATO hazirushi kombora likagusa RUSSIA
Matembo wa ulaya ambao wapo nato hawatak vita na urusi na ndio maana wakat Lithuania anamkazia mrusi matembo wote walimwambia achana na hiyo ishu.
 
Back
Top Bottom