Husikilize porojo nyingi za MK-254, yaani wala hana habari kwamba Urusi na Merikani si member wa ICC, akili zake zote anawaza kesi za Kenyatta Jr na Rutto walipo buruzwa mahakamani the Hague - Kenya ni member sijui kama wamekwisha jitoa, cha ajabu mashahidi karibu wote walio kuwa wamejitolea kutoa ushahidi dhiti ya Kenyatta na Rutto walipotea kima ajabu na wengine kupewa ongo kubwa wasije mahakamani.
Mambo mengine bwana!! Nani mwenye ubavu wa kumguza Putin, labda kama Taifa hilo au Rais wake hawajipendi - achaneni kusikiliza propaganda za Biden na genge lake wote hao hakuna hata mmoja anayeweza kudhubutu kufanya lolote Putin au Urusi.