Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

Swali


Ivi rusia na china hawanaga uchaguzi maana ma raisi wao naona wana mda duuh

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanafanya Uchaguzi Tena Wa Vipindi Flani Flani Kama Kwa Russia Ni Miaka Mitano Mitano... Ila Ukifatilia Kwa Mfano Putin Kuna Wakati Anakua Raisi Akishamaliza Consecutive Two Periods Ya Miaka Mitano Anampa Full Support Waziri Mkuu Wake Awe Raisi Na Yeye Anakuwa Waziri Mkuu Hivo Hivo Wanabadilishana Kwa Miaka Tena Mingine Ijayo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14][emoji14][emoji14][emoji12][emoji12]
Kiburi cha rais wa Syria na nchi ya Irani kwa sababu ya urusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio unataka kuiaminisha dunia yakwamba IRAN vs US Inaenda Kuzaa ww3 maana vita kama itapiganwa na jamaa wana mtegemea RUSSIA Basi Hio Ni Vita Kubwa Mnooo Ambayo Inaweza Pelekea ww3


IRAN Hajawahi Kumtegemea Mtu Anapambana na Hali Yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom