Swali
Ivi rusia na china hawanaga uchaguzi maana ma raisi wao naona wana mda duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia kaikamata sana Europe haswa katika mambo ya gesi wakileta kibesi haswa kipindi hiki cha baridi anafunga mabomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya 3 baada ya wa China. Na ya 2 kwa msimamo mkali baada ya Trump.Yohana je, anashika nafasi ya ngapi?
Kwahio unataka kuiaminisha dunia yakwamba IRAN vs US Inaenda Kuzaa ww3 maana vita kama itapiganwa na jamaa wana mtegemea RUSSIA Basi Hio Ni Vita Kubwa Mnooo Ambayo Inaweza Pelekea ww3
Haya....Swali
Ivi rusia na china hawanaga uchaguzi maana ma raisi wao naona wana mda duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ufunge duka kukomoa wanakijiji wakati na wewe unahitaji pesa! Hakunaga akili mfu kama hiyo.Russia kaikamata sana Europe haswa katika mambo ya gesi wakileta kibesi haswa kipindi hiki cha baridi anafunga mabomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulaya wameishi watu kitambo kabla hata Huyo Russia hajajua kuwa ana gasAsee hawez 2 kufanya huo unyama ila angefanya wangelifariki Kama VYUKU[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] Russia hana huo ujanja, tena akizingua atawekewa vikwazo, tutamtoa Assad wa Syria madarakani au tutamuua tupitishe bomba LA gas hadi ulaya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali
Ivi rusia na china hawanaga uchaguzi maana ma raisi wao naona wana mda duuh
Sent using Jamii Forums mobile app