Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliwahi kuishi akina Nebukadreza, watu ambao waliifanya mpaka duniani iabudu miungu. Na hawa wote hawapo wamepita, putin hajafika hata nusu ya watu hawa.Kwakifupi unamaanisha kwamba Putin hana cha kupoteza ndio maana haogopi kuzungumzia/kutishia matumizi ya nuclear weapons..??
Anyway, kwani yeyw amezaliwa peke yake na hana ndugu wa upande wa baba na mama..??
Putin hana watoto wala wajukuu...??
Kwani putin hana wakwe, mashemeji, wajomba na vizazi vyao..??
Kwakifupi minaona Putin ni mbabe na jeuri, tena asie ogopa kutishwa na nimwenye misimamo thabiti kwa yale anayo yaamini. Lakini hii haimaanishi kwamba Putin ni untouchable na haimaanishi kwamba Putin anazo silaha nzito kuziti mataifa mengine makubwa duniani.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine [emoji16][emoji16]Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.
Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.
Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Miaka 25 Urusi analalamika.Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.
Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.
Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Google imetengenezwa na United States of AmericaWaliwahi kuishi akina Nebukadreza, watu ambao waliifanya mpaka duniani iabudu miungu. Na hawa wote hawapo wamepita, putin hajafika hata nusu ya watu hawa.
Kwa umri wa jamaa, na pesa alizonazo, kutumia nuclear ni sawa sababu hakuna raha ambayo hajawahi kuipata. Kama ni vyeo ameshakaa saaana madarakani. Hana kitu kipya kabisa ktk maisha yake.
Kubwa zaidi russia imejizatiti mno ktk kujilinda na nuclear hasa viongoz wake, wana milima yenye miamba mikubwa, huko wameitengeneza ili kujilinda na silaha nzito za maangamizi pamoja na miji mingine iliyopo chini ya maji. Hii milima ilipo jina limentoka kidogo, ila mtu ukitazama google utaipata.
Small minded people like you can not understand the value of protecting country like his country from enemies of their existance.Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.
Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.
Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Haya yote umeyajua kupitia google?Kubwa zaidi russia imejizatiti mno ktk kujilinda na nuclear hasa viongoz wake, wana milima yenye miamba mikubwa, huko wameitengeneza ili kujilinda na silaha nzito za maangamizi pamoja na miji mingine iliyopo chini ya maji. Hii milima ilipo jina limentoka kidogo, ila mtu ukitazama google utaipata.
Why calling me small minded person. It's my opinion, you just need to drop yours, full stop than jotting a useless commentSmall minded people like you can not understand the value of protecting country like his country from enemies of their existance.
Sio KWELI, miaka 70 uko ukingoni, uwe mzungu, machina, mhindi, au muarab. Kwani wao wanaishi miaka 100. Umri ni huohuo Kwa woteWazungu miaka 70 ndo laifu inaanza.
Putin ni mbabe anawaza kuicharaza dunia.
Hata salamu za muungano ni geresha tu huenda anaihusudu tz.
Huyo Biden tu umri mkubwa hata kumbukumbu imeshampotea lakini ndo kwanza anaiongoza dunia.
Ndio ujuwe kuna evile leader.Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.
Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.
Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Ila atakutangulia kufaNinampenda Putin mpaka kufa kwangu.
Ninaona mafashist wamempania.Ila atakutangulia kufa
Hata bila mafashist umri wake tu anafaa kuwa baba yako hivo Kwa probability kubwa lazima akutangulie kufa hahahaNinaona mafashist wamempania.
I like him but not loving him in that manner.Hata bila mafashist umri wake tu anafaa kuwa baba yako hivo Kwa probability kubwa lazima akutangulie kufa hahaha
mpende shemeji bhana sky achana na huyo mburumundu putinNinampenda Putin mpaka kufa kwangu.
Kwakifupi minaona Putin ni mbabe na jeuri, tena asie ogopa kutishwa na nimwenye misimamo thabiti kwa yale anayo yaamini.