Putin is 70 years old

Putin is 70 years old

kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?

na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!

ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara

ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
Unachekesha fatilia mzozo wa miaka ya nyuma mpaka marekani akataka kulipua sehemu ya dunia na NUKE'S.....kwa sababu ya kitu inaitwa CUBAN MISSILES ....afu ndo uje hapa kutoa hoja ....na jana tu hapa china kaweka BASE za kijeshi karibu na australia visiwani SOLOMON angalia walivoipiga mikwara china .kwa sababu visiwa viko jirani na australia .........au kule kwa maduro marekani anapinga urusi kuweka kambi za kijeshi kule .maan ipo jirani na us ......sasa huoni huo ni uonevu ....kwa mwenzako ni sawa ila ikija kwako ugomvi ....
 
Jina lenyewe Imeloa... huwezi kuwa na akili. Kutishia ni sehemu ya kuonya. Sasa hizo nyuklia walengeneza za kazi gani wewe uliyeloa?
Ulaya hawataki vita. Sema marekani ndio anawapiga vidole nawao wananusa. Acha wajifanye kushupaza shingo kikiwafika walixhopata ukraine watajua wenyewe.
Andiko lako linaonyesha kabisa wewe ni mtu sampuli gani.
 
Back
Top Bottom