bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
Kwani ni yeye ndo kaanda hivi au ni ofisi ndo imemuandalia hivo ........hiyo ni protacal ya kiofisi ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni yeye ndo kaanda hivi au ni ofisi ndo imemuandalia hivo ........hiyo ni protacal ya kiofisi ....
Unachekesha fatilia mzozo wa miaka ya nyuma mpaka marekani akataka kulipua sehemu ya dunia na NUKE'S.....kwa sababu ya kitu inaitwa CUBAN MISSILES ....afu ndo uje hapa kutoa hoja ....na jana tu hapa china kaweka BASE za kijeshi karibu na australia visiwani SOLOMON angalia walivoipiga mikwara china .kwa sababu visiwa viko jirani na australia .........au kule kwa maduro marekani anapinga urusi kuweka kambi za kijeshi kule .maan ipo jirani na us ......sasa huoni huo ni uonevu ....kwa mwenzako ni sawa ila ikija kwako ugomvi ....kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?
na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!
ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara
ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
We mbupu mbona unaoongea kirahisi rahis hivo ......au ushakunywa wanzuki ........Anatumia zaidi ya miezi 2 kuipiga ukraine,
hivi nchi kama US kweli ataiweza yule mburumundu?
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8]Ukraine ni kama baby wake, sasa baby anafuata makundi ya mafashist lazima amchape vibao.
Unampenda ShetanNinampenda Putin mpaka kufa kwangu.
Andiko lako linaonyesha kabisa wewe ni mtu sampuli gani.Jina lenyewe Imeloa... huwezi kuwa na akili. Kutishia ni sehemu ya kuonya. Sasa hizo nyuklia walengeneza za kazi gani wewe uliyeloa?
Ulaya hawataki vita. Sema marekani ndio anawapiga vidole nawao wananusa. Acha wajifanye kushupaza shingo kikiwafika walixhopata ukraine watajua wenyewe.