Putin is 70 years old

Putin is 70 years old

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.

Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.

Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.

Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
 
Kwakifupi unamaanisha kwamba Putin hana cha kupoteza ndio maana haogopi kuzungumzia/kutishia matumizi ya nuclear weapons..??
Anyway, kwani yeyw amezaliwa peke yake na hana ndugu wa upande wa baba na mama..??
Putin hana watoto wala wajukuu...??
Kwani putin hana wakwe, mashemeji, wajomba na vizazi vyao..??
Kwakifupi minaona Putin ni mbabe na jeuri, tena asie ogopa kutishwa na nimwenye misimamo thabiti kwa yale anayo yaamini. Lakini hii haimaanishi kwamba Putin ni untouchable na haimaanishi kwamba Putin anazo silaha nzito kuziti mataifa mengine makubwa duniani.
 
Waliwahi kuishi akina Nebukadreza, watu ambao waliifanya mpaka duniani iabudu miungu. Na hawa wote hawapo wamepita, putin hajafika hata nusu ya watu hawa.

Kwa umri wa jamaa, na pesa alizonazo, kutumia nuclear ni sawa sababu hakuna raha ambayo hajawahi kuipata. Kama ni vyeo ameshakaa saaana madarakani. Hana kitu kipya kabisa ktk maisha yake.

Kubwa zaidi russia imejizatiti mno ktk kujilinda na nuclear hasa viongoz wake, wana milima yenye miamba mikubwa, huko wameitengeneza ili kujilinda na silaha nzito za maangamizi pamoja na miji mingine iliyopo chini ya maji. Hii milima ilipo jina limentoka kidogo, ila mtu ukitazama google utaipata.
 
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.

Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.

Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine [emoji16][emoji16]
Screenshot_20220410-193138.jpg
 
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.

Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.

Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Miaka 25 Urusi analalamika.
Miaka 25 hiyo dunia ilimuona Urusi akiitafuta amani mezani na dunia hiyo hiyo ilikaa kimya.
Inachofanya dunia mpira imeuacha nyumba inawahi golini.
 
Waliwahi kuishi akina Nebukadreza, watu ambao waliifanya mpaka duniani iabudu miungu. Na hawa wote hawapo wamepita, putin hajafika hata nusu ya watu hawa.

Kwa umri wa jamaa, na pesa alizonazo, kutumia nuclear ni sawa sababu hakuna raha ambayo hajawahi kuipata. Kama ni vyeo ameshakaa saaana madarakani. Hana kitu kipya kabisa ktk maisha yake.

Kubwa zaidi russia imejizatiti mno ktk kujilinda na nuclear hasa viongoz wake, wana milima yenye miamba mikubwa, huko wameitengeneza ili kujilinda na silaha nzito za maangamizi pamoja na miji mingine iliyopo chini ya maji. Hii milima ilipo jina limentoka kidogo, ila mtu ukitazama google utaipata.
Google imetengenezwa na United States of America
 
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.

Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.

Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Small minded people like you can not understand the value of protecting country like his country from enemies of their existance.
 
Wazungu miaka 70 ndo laifu inaanza.

Putin ni mbabe anawaza kuicharaza dunia.

Hata salamu za muungano ni geresha tu huenda anaihusudu tz.

Huyo Biden tu umri mkubwa hata kumbukumbu imeshampotea lakini ndo kwanza anaiongoza dunia.
 
Kubwa zaidi russia imejizatiti mno ktk kujilinda na nuclear hasa viongoz wake, wana milima yenye miamba mikubwa, huko wameitengeneza ili kujilinda na silaha nzito za maangamizi pamoja na miji mingine iliyopo chini ya maji. Hii milima ilipo jina limentoka kidogo, ila mtu ukitazama google utaipata.
Haya yote umeyajua kupitia google?
 
Small minded people like you can not understand the value of protecting country like his country from enemies of their existance.
Why calling me small minded person. It's my opinion, you just need to drop yours, full stop than jotting a useless comment
 
Wazungu miaka 70 ndo laifu inaanza.

Putin ni mbabe anawaza kuicharaza dunia.

Hata salamu za muungano ni geresha tu huenda anaihusudu tz.

Huyo Biden tu umri mkubwa hata kumbukumbu imeshampotea lakini ndo kwanza anaiongoza dunia.
Sio KWELI, miaka 70 uko ukingoni, uwe mzungu, machina, mhindi, au muarab. Kwani wao wanaishi miaka 100. Umri ni huohuo Kwa wote
 
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.

Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.

Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.

Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Ndio ujuwe kuna evile leader.
 
Back
Top Bottom