MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Familia ya Tarimo itapigwa rambi rambi ya maana tu tokea kwa Putin
Hapana bana nimeongea tu nduguUmetaman ata sngukufa mdogo wako wa mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]?
Maana nimeona kama unaona wivuHapana bana nimeongea tu ndugu
Of course akili imewaza helaMaana nimeona kama unaona wivu
Si Chawa wa Urusi wanasema ana Jeshi kubwa? Ana Uwezo, Sasa ilitokeaje Jeshi kubwa limtumie hadi Kijana wa Nchi Maskini kupigana Kwa Ajili Yao?Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.
Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.
Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi .
Bakini hapa hapa nitawajuza.
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.
Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.
Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi .
Bakini hapa hapa nitawajuza.
Vijana wengi mtaani wako njiani kuelekea uwanja wa vitaVyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.
Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.
Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi .
Bakini hapa hapa nitawajuza.
Jeshi la Urusi bado halijaingia mzigoni, Wagner Group Ltd ndio wanapigana kwa maslahi ya Urusi 🇷🇺Si Chawa wa Urusi wanasema ana Jeshi kubwa? Ana Uwezo, Sasa ilitokeaje Jeshi kubwa limtumie hadi Kijana wa Nchi Maskini kupigana Kwa Ajili Yao?