Putin kakosa usingizi wiki nzima sababu ya ishu ya kijana Tarimo

Putin kakosa usingizi wiki nzima sababu ya ishu ya kijana Tarimo

Duuh ila kwel Tz na urusi
1. Huyo kijana alikua Jela (mjelajela),
2. Kaambiwa tukutoe ukapigane ukimaliza na kifungo kwisha na hela juu,
3. Kaingia tamaa wakamtanguliza chambo, kaleta ujuaji, wakampa za kichwa

NB: ndugu wanasubiria mafao ya 300,000 USD toka Russia.
 
Acha ndoto hizo,
Kawasome wegner group na kazi zao.
Ile ni kama ku out source labour
 
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa kitanzania anapigania upande wao.
Kila akishika simu kutaka kuongea na mama Samia anairudisha mezani maana anakuwa Hana maneno sahihi ya kumfariji.
Hamna nchi duniani ambayo Urusi inaiheshimu Kama Tanzania, hili janga linataka kuivunja hii heshima lkn Putin anajaribu kuokoa jahazi lakini wasiwasi bado ni mkubwa Sana uko Urusi .
Bakini hapa hapa nitawajuza.
Kamba
 
Back
Top Bottom