Putin: Kama Ulaya inataka vita na Urusi tupo tear ata sasa

Hili dingi hua linawaza vita kila muda halijawahi kuwaza solution zaidi ya mauaji
 
Hakuna mtawala atakubali kutolewa, atahakikusha anawatumia majinga kupigana yanauwawa kumlinda yeye na familia yake.

Ulaya waoga tu kama mitanganyika, russia iliisha lainika hiyo ni kusukuma mlevi tu.

Wampe ukraine support anayohitaji awasaidie kumuondoa.
 
Wamekutana na Trump ability zao zipo sawa wanawaza vita tu muda wote na si kupatanisha ukiona Trump kapatanisha jua wamesaini mkataba wa kuchukua rasilimali za hiyo Nchi buree kabisa kama anavyoenda kuzoa madini hapo DRC wamemtumia Kagame mwisho kaona aende mwenyewe..
 
Hakuna mtawala atakubali kutolewa, atahakikusha anawatumia majinga kupigana yanauwawa kumlinda yeye na familia yake.

Ulaya waoga tu kama mitanganyika, russia iliisha lainika hiyo ni kusukuma mlevi tu.

Wampe ukraine support anayohitaji awasaidie kumuondoa.
Hivi unadhani ni msaada gani Ukraine hajapewa? Urusi ni dude kuuubwa, that's why Trump anapiga mkwara alafu baadae ananywea mwenyewe
 
Achana na trump, wakipewa zana russia kesha lainika sana.

Sasa naye anaomba msaada, n.korea, china na iran.
 
hili dingi ni Hitler la Karne ya 21 linajiona lina manguvu ya kijeshi linaweza kuleta war3
 
Hakuna mtawala atakubali kutolewa, atahakikusha anawatumia majinga kupigana yanauwawa kumlinda yeye na familia yake.

Ulaya waoga tu kama mitanganyika, russia iliisha lainika hiyo ni kusukuma mlevi tu.

Wampe ukraine support anayohitaji awasaidie kumuondoa.
Unaropoka wewe. Ingekuwa Russia imelainika kama mlevi vikosi vya Ulaya vilivyoenda kwa mwamvuli wa Mercenaries visingeuawa kikatili. Pia usisahau kuna North Korea Na Iran zipo nyuma ya Russia.
 
Kwanini usiende wew kumsukuma ila faham ana 7000 active nuclear warheads akivigawa kwa EU kila mmoja anapata 220 usisahau ana orshenik, iskander na nyenginezo nyingi
 
Hivi cranial cavity yako imejazwa na nini kaka ubongo au kinyesi soma historia ya kweli acha kufata mkumbo
 
Back
Top Bottom