Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Hotuba ya Jana Putin aliwapa offer tatu Wagner group, kujisalima(Kujiunga) Russian Army ,kurudi nyumbani au kwenda Belarus
Moja ya maagizo hayo yameanza kufanyiwa kazi ambapo Wagner group wameanza kukusanya siraha zao na Kwa ajili ya kukabidhi Kwa wizara ya ulinzi
Belarus iko chini ya putin pia, maana ndie kamkingingia kifua president wa ile nchi. Hapo wakifika mpakani, wanakabidhi siraha.kwemda Belarus kivipi wakiwa bado ni askari?
Huu ndio muda muafaka wa kuivunja Wagner maana huko mbeleni watafanya kweli.Russia mambo yao kama Sudan alafu anatokea mtu kijiji cha Chita anakwambia ni superpower.
Seems to be well crafted and going as planned !!Mbona hayo mambo yanafanywa kwa haraka isiwe kwamba ulikua mpango
Leo umepata wapi Network!!!..au umeshatoka kule kijijini ndanindani Mkuu.Russia mambo yao kama Sudan alafu anatokea mtu kijiji cha Chita anakwambia ni superpower.
Sidhani kama haya yalikuwa maigizo.Wale wachambuzi wa kirusi waliokuwa wakitwambia kwamba Wagner na Putin wanatuchezea akili huwezi kuwaona hapa[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tuliambia na Pro Russia kwamba Wegner wanaelekea Belarus ambapo itakuwa ni rahisi zaidi kuvamia mji mkuu wa Ukraine.Kwenye Hotuba ya Jana Putin aliwapa offer tatu Wagner group, kujisalima(Kujiunga) Russian Army ,kurudi nyumbani au kwenda Belarus
Moja ya maagizo hayo yameanza kufanyiwa kazi ambapo Wagner group wameanza kukusanya silaha zao na Kwa ajili ya kukabidhi Kwa wizara ya ulinzi
Sidhani kama haya yalikuwa maigizo.
👇
Putin confirms Russian pilots killed during Wagner mutiny
In his late night address on Monday, President Putin confirmed that Russian army pilots were killed in clashes with Wagner troops in the short-lived mutiny over the weekend.
He thanked all those who “stood in the way of the rebels”, and remained faithful to “their duty, oath and their people”, Reuters reports.
The Russian president went onto thank the fallen heroes that showed “courage and self-sacrifice” and “saved Russia from tragic devastating consequences”.
In an earlier audio message posted on Telegram, Wagner leader Yevgeny Prigozhin claimed that “not a single soldier was killed on the ground” during Wagner’s “march of justice”, although he expressed regret that his troops had fired at aircraft who he said were attacking them.
Kunywa maji upozee,,,Russia mambo yao kama Sudan alafu anatokea mtu kijiji cha Chita anakwambia ni superpower.
Sababu ni jeshi na wana uzoefu wa vita...hatari sanaIla Russia wamejifunza
Hivi vikundi usipokuwa makini vinakugeuka
Russia mambo yao kama Sudan alafu anatokea mtu kijiji cha Chita anakwambia ni superpower. Alisikika mkulima wa ufuta toka Kilwa baada mazao yake kukauka na jua kali
Kauli hiyo ilitoka kwa muuza kahawa maarufu toka Micheweni PembaMwisho wa Urais wa Putin haupo mbali sana, unaweza kuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Warusi hawapendi Rais dhaifu.
Pia hili tukio linaonyesha civic maturity kubwa ya warusi kama jamii pia utiifu wa kiraia na approval ya warusi kwa mamlaka ni kubwa.Russia mambo yao kama Sudan alafu anatokea mtu kijiji cha Chita anakwambia ni superpower.