Putin: Kuipatia Ukraine silaha hakubadilishi chochote

Putin asisahau jinsi msaada wa US na washirika wake ulivyowawezesha Mujahideen kuharakisha kuiondoa USSR Afghanistan miaka ya 1980s na kuchangia kuanguka kwa himaya hiyo.

Ni busara ashtuke; aione picha kubwa kuwa Ukraine yaweza kuwa version 2.0 ya kuangamiza kiini masalia cha USSR via proxy.
 
Yaani US iweke silaha hapo harafu Russia asirudishe majimbo kwa Ukraine? Thubutuu.
Kwani silaha anazo tumia Ukraine hadi sasa hvi ni za nani? Ni za hao hao USA na his aliies; nasikia silaha zilizo leta UPINZANi sana kwa Urusi hadi sasa hivi ni za Mwingereza, za USA jamaa kazimudu sana tu na hi nadhani ni kwasababu Urusi na USA wamekua wakichunguzana kwa muda mrefu sana, over 70 years so huyu akitoa kitu hiki, mwenzie anakijua but ni ngumu kwa mataifa mengine ambayo hakuweka juhudi kuchunguza
 
Kwa anti tank, za Uingereza zinatumika sana maana ni cheap, za us ni effective zaid ila ni very expensive
 
Kwani silaha anazo tumia Ukraine hadi sasa hvi ni za nani? Ni za hao hao USA na his aliies; nasikia silaha zilizo leta UPINZANi sana kwa Urusi hadi sasa hivi ni za Mwingereza, za USA jamaa kazimudu sana tu na hi nadhani ni kwasababu Urusi na USA wamekua wakichunguzana kwa muda mrefu sana, over 70 years so huyu akitoa kitu hiki, mwenzie anakijua but ni ngumu kwa mataifa mengine ambayo hakuweka juhudi kuchunguza
Mpaka sasa Russia still yupo kwenye operation ya kawaida ndio maana hajawai gusa supply root ya Ukraine kama rail, airport sasa vita kamili ikianza Kwanza Ukraine itakatwa na Poland, pili hakutakuwa na kiwanja kitakachobaki hapo hautasikia warning ila west watakuja wanaongelea humanitarian we mpaka sasa ofisi za mameya zinafunguliwa na ikulu haijaguswa hata na baruti
 
Tunataka awashambulie hao watoaji silaha kama alivyotoa onyo.
Unajua huwezi enda kichwa kichwa lazima watege maspya wakuwata taarifa ili wasije kula la vichwa kumbuka sisi na Malawi waliposema wanajua hadi mkuu anapolala ikabidi tukapige goti kwa wakuu
 
Awanyooshe wakati yeye ananyooshwa huko…vita inaenda miezi 3 sasa Ukraine anampeleka puta watu jana wameua general mwingine huko…wewe umeshiba makande yako eti moto upo palepale [emoji23][emoji23][emoji23]
Vita inaenda miezi 3 sasa? Acha utani mkuu. Tupo tunautafuta mwezi wa 4 huu.
 
andunje kanikumbusha enzi zile. Mtoto unampiga bonge la kwenzi. halafu badala ya kulia anakuzomea. ‘’ Ilooo hata sijaumia iloo’’.
 
Mpaka sasa Russia still yupo kwenye operation ya kawaida ndio maana hajawai gusa supply root ya Ukraine kama rail, airport sasa vita kamili ikianza Kwanza Ukraine itakatwa na Poland, pili hakutakuwa na kiwanja kitakachobaki hapo hautasikia warning ila west watakuja wanaongelea humanitarian we mpaka sasa ofisi za mameya zinafunguliwa na ikulu haijaguswa hata na baruti
Kwamba hajashambulia nini, au tulete picha ya reli ilivyoshambuliwa
 
Awanyooshe wakati yeye ananyooshwa huko…vita inaenda miezi 3 sasa Ukraine anampeleka puta watu jana wameua general mwingine huko…wewe umeshiba makande yako eti moto upo palepale [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa!!!!!
FB_IMG_16542554697688120.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani tangu Vita vianze wanokufa na wanopoteza maisha wanaotangwazwa Ni wanajeshi wa urusi na magenerali wa urusi tuu, sijawahisikia Kuna kiongozi yoyote au wanajeshi wa Ukraine kauwawa huko.
Hata vifaru na magari Naina vinavyo alibiwa Ni vya urusi tuu, vya Ukraine sioni hata kimoja. Sasa hizi vyanzo vya taharifa Wenda vinaeza kuegemea upande mmoja. Bado hatujapata chanzo kizuri Cha habari kinachoweza kutoa taharifa za uhakika.
 
Back
Top Bottom