Putin: Kuipatia Ukraine silaha hakubadilishi chochote

Putin: Kuipatia Ukraine silaha hakubadilishi chochote

Awanyooshe wakati yeye ananyooshwa huko…vita inaenda miezi 3 sasa Ukraine anampeleka puta watu jana wameua general mwingine huko…wewe umeshiba makande yako eti moto upo palepale [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawa Ukraine wao hawawezi vuka mpka wakaingia Russia,wanakwama wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajagusa Airport fields..? mzee unaishi kwe dunia gani. Muwe mnafuatilia hata vyombo vya habari basi. Ni juzi tu hapa Russia wamefanya shambulizi kwenye njia za reli. Wewe umeona ile ndege kubwa kabisa iliahambuliwa wapi kama sio uwanja wa ndege kwenye hangar kabisa.

Muwe mnasoma basi nyie prorussian...
Ndio maana tunasema vijana wanaoshabikia russia ktk hili ujinga umewajaa kichwani. Russia ameharibu miundombinu mingi mno ndani ya ukraine. Leo mtu anasema russia hajagusa hizo sehemu. Mtu kama huyo ukimuelewesha hatoweza kukuelewa daima sababu ujinga umejaa kichwani mwake.
 
Putin asisahau jinsi msaada wa US na washirika wake ulivyowawezesha Mujahideen kuharakisha kuiondoa USSR Afghanistan miaka ya 1980s na kuchangia kuanguka kwa himaya hiyo.

Ni busara ashtuke; aione picha kubwa kuwa Ukraine yaweza kuwa version 2.0 ya kuangamiza kiini masalia cha USSR via proxy.
Wabongo bana..kwahiyo wewe una akili kuwazidi FSB [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana tunasema vijana wanaoshabikia russia ktk hili ujinga umewajaa kichwani. Russia ameharibu miundombinu mingi mno ndani ya ukraine. Leo mtu anasema russia hajagusa hizo sehemu. Mtu kama huyo ukimuelewesha hatoweza kukuelewa daima sababu ujinga umejaa kichwani mwake.
Mimi nimebaki kuwa mpenzi mtizamaji maana wanajua kutukana kuliko kutoa hoja na taarifa za kweli. Wengi ni oya oya na chuki kubwa kwa marekani ili hali wana ndoto za kuishi ulaya..
 
Rais Vladimir Putin amekosoa Mataifa ya Magharibi yanayoendelea kuipatia Ukraine silaha, akisema yanalenga kuendeleza Vita kati ya Urusi na Taifa hilo

Amesisitiza kuwa, kupeleka silaha hizo hakubadilishi hali ya Jeshi la Ukraine. Viongozi wa Urusi wamekuwa wakionya uamuzi wa Marekani kuipatia Ukraine silaha za masafa marefu

Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Ukraine, Hanna Malyar aliomba Mataifa ya Magharibi kuendelea kutoa silaha kwa Taifa hilo ili kusaidia kupambana na Urusi

========

Russian President Vladimir Putin has warned the West against providing Ukraine with long-range missiles, as Moscow claimed it had struck targets in Kyiv, destroying tanks and other armoured vehicles supplied by Western countries.

Putin warned that he would hit new targets if advanced rocket systems were supplied to Ukraine, adding that new arms deliveries to Kyiv are aimed at “prolonging the conflict”.

Moscow “will draw the appropriate conclusions and use our arms…. to strike at those targets which we have not yet been hitting,” the Russian leader said without specifying which targets he meant.

His remarks come days after US President Joe Biden announced the US would send “rocket systems that can strike into Russia”, but a day later announced he had decided to provide Ukraine with “more advanced rocket systems and munitions”, without mentioning the systems by name.

Ukraine has been seeking Multiple Rocket Launch Systems (MLRS) such as the M270 and M142 HIMARS to hit troops and weapons stockpiles at the Russian forces’ rear.

While Kyiv has stressed it would not hit targets inside Russia, there are concerns that providing such weapons would risk drawing the US and its NATO allies into direct conflict with Moscow.

Russian officials have repeatedly warned that the US decision to supply Ukraine with advanced rocket systems could exacerbate the conflict.

Putin also insisted it would not bring on any fundamental changes on the battlefield.

Speaking to the Rossiya-1 state television channel, he said the “fuss” around Western weapon supplies to Ukraine was designed to drag out the conflict.

“We understand that this supply from the United States and some other countries is meant to make up for the losses of this military equipment,” Putin said.
Haya
 
Kwani silaha anazo tumia Ukraine hadi sasa hvi ni za nani? Ni za hao hao USA na his aliies; nasikia silaha zilizo leta UPINZANi sana kwa Urusi hadi sasa hivi ni za Mwingereza, za USA jamaa kazimudu sana tu na hi nadhani ni kwasababu Urusi na USA wamekua wakichunguzana kwa muda mrefu sana, over 70 years so huyu akitoa kitu hiki, mwenzie anakijua but ni ngumu kwa mataifa mengine ambayo hakuweka juhudi kuchunguza
kwamba unaskia.
 
Ndio maana tunasema vijana wanaoshabikia russia ktk hili ujinga umewajaa kichwani. Russia ameharibu miundombinu mingi mno ndani ya ukraine. Leo mtu anasema russia hajagusa hizo sehemu. Mtu kama huyo ukimuelewesha hatoweza kukuelewa daima sababu ujinga umejaa kichwani mwake.
Wewe akili zako ni sawa na akili za wanawake
 
Yani tangu Vita vianze wanokufa na wanopoteza maisha wanaotangwazwa Ni wanajeshi wa urusi na magenerali wa urusi tuu, sijawahisikia Kuna kiongozi yoyote au wanajeshi wa Ukraine kauwawa huko.
Hata vifaru na magari Naina vinavyo alibiwa Ni vya urusi tuu, vya Ukraine sioni hata kimoja. Sasa hizi vyanzo vya taharifa Wenda vinaeza kuegemea upande mmoja. Bado hatujapata chanzo kizuri Cha habari kinachoweza kutoa taharifa za uhakika.

tatizo taarifa za vita unazitoa Jamii forum hasara za ukraine znatangazwa sana tu. juzi zele kasema karibu askari 100 wa ukraine wanakufa kila siku huko donbass.
 
If Putin doesn't want U.S. missiles attacking Russian soldiers, he can take a simple decision-- leave Ukraine. Easy day.
 
Tunataka awashambulie hao watoaji silaha kama alivyotoa onyo.
Putin akili nyingi wewe! Lengo ni kwamba silaha zisifike na Sasa njia nyepesi ni kuzifumua na hilo linafanyika with High Precision Missiles Sasa wewe unataka anyanyuke aende UK, US kwani anajua wanapozitunza? JAMANI PUTIN ANANIPA RAHA NA MAUTAMU YA KUFA MTU WERA WERAAAAAA.
 
Back
Top Bottom