Putin: Kuipatia Ukraine silaha hakubadilishi chochote

Awanyooshe wakati yeye ananyooshwa huko…vita inaenda miezi 3 sasa Ukraine anampeleka puta watu jana wameua general mwingine huko…wewe umeshiba makande yako eti moto upo palepale [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawa Ukraine wao hawawezi vuka mpka wakaingia Russia,wanakwama wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana tunasema vijana wanaoshabikia russia ktk hili ujinga umewajaa kichwani. Russia ameharibu miundombinu mingi mno ndani ya ukraine. Leo mtu anasema russia hajagusa hizo sehemu. Mtu kama huyo ukimuelewesha hatoweza kukuelewa daima sababu ujinga umejaa kichwani mwake.
 
Wabongo bana..kwahiyo wewe una akili kuwazidi FSB [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimebaki kuwa mpenzi mtizamaji maana wanajua kutukana kuliko kutoa hoja na taarifa za kweli. Wengi ni oya oya na chuki kubwa kwa marekani ili hali wana ndoto za kuishi ulaya..
 
Haya
 
kwamba unaskia.
 
Wewe akili zako ni sawa na akili za wanawake
 

tatizo taarifa za vita unazitoa Jamii forum hasara za ukraine znatangazwa sana tu. juzi zele kasema karibu askari 100 wa ukraine wanakufa kila siku huko donbass.
 
If Putin doesn't want U.S. missiles attacking Russian soldiers, he can take a simple decision-- leave Ukraine. Easy day.
 
Tunataka awashambulie hao watoaji silaha kama alivyotoa onyo.
Putin akili nyingi wewe! Lengo ni kwamba silaha zisifike na Sasa njia nyepesi ni kuzifumua na hilo linafanyika with High Precision Missiles Sasa wewe unataka anyanyuke aende UK, US kwani anajua wanapozitunza? JAMANI PUTIN ANANIPA RAHA NA MAUTAMU YA KUFA MTU WERA WERAAAAAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…