Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.

Kwamba hatishiki wala kukuruka.

Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao.

Screenshot_20230807-080822.jpg

Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin kumuwahisha akasamehewe na mola?

Kumbe ana nini Putin kuliko akina tolu wasiokuwa na uhimilivu dhidi ya wapinzani wao?
 
Ni makosa yako mwenyewe kutokufuatilia taarifa kwa muda sahihi.

Ilishatangazwa tokea mwezi wa 7 ya kwamba putin hatokwenda afrika kusini na atawakilishwa na sergei lavrov.

Na uamuzi huo ulitiwa mkazo zaidi na serikali ya afrika kusini
 
"Kukacha ni kukacha tu hata itangazwe mwaka juzi!"

njalas unaukumbuka uzi wako huu?

Rais Putin yupo Afrika Kusini, tuone kama ICC watamkamata

Mara ngapi zimefanyika safari za kushtukiza hadi Kunduz, Kandahar au Bahgdad huko nyakati tete kweli kweli?

Si kuwa hatufatilii twafatilia sana, ila hadi mwisho kujiridhisha.

Hapa tulipo ndipi kwa uhakika kabisa, sasa tunasema:

"Putin Kaufyata, fyuuuu!"
 
Narejea tena fatilia habari kwa muda sahihi

Ni lini putin alikwenda afrika kusini kwa miaka hii miwili.

Huyo aliyeanzisha thread na hata mshana jr walitumia clip hii ya video

View: https://youtu.be/LOJrdVu7GoQ?si=8Q31pCeEXbC9mJGf
 
Narejea haipo safari ya rais wa marekani
ambayo hutangazwa kabla kwenda maeneo tata: Kunduz, Kabul, Bahgdad, au Kandahar huko.

Hivyo hata taarifa ya Putin Sauzi ingeweza kuwa danganya toto. Kwa sasa tunajua aliufyata!

Hukuwasikia nduguze kina njalas hawa tukiwavutia upepo hadi leo?

Rais Putin yupo Afrika Kusini, tuone kama ICC watamkamata

F4ZSBPjXAAAR1xb.jpeg

Kwamba Sauzi Putin hakuonekana ila wajomba zetu!
 
Kajiongeza angefika wangemdaka...........ila huyu jamaa (putin) atoboi huu mwaka..........naona anawatafuta Wargner kwa nguvu zote........Leo kuna video nimeona kang'oa misalaba ya makaburi ya wagner na kusawazisha makaburi yao kabisa kama hakuna kilichotokea .........atapata jibu lao kali sana mwache ajichanganye
 
Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.

Kwamba hatishiki wala kukuruka.

Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao.

View attachment 2729538

Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin kumuwahisha akasamehewe na mola?

Kumbe ana nini Putin kuliko akina tolu wasiokuwa na uhimilivu dhidi ya wapinzani wao?
Siku hizi teknolojia si lazima mtu ambae yupo busy ana vita kwake awepo hapo. Amehudhuria na amehutubia online.
 
Kumbe ndiyo maana hata Baghdad, Kunduz, Kandahar na Kabul huko tunaposikia wanene wameingizana japo bila kutangaziwa, huwa ni Kwa sababu walikuwa hawako busy tu na labda siku hizo pia teknolojia hugeuka kuwa bado bado japo kwa muda.
 
Back
Top Bottom