uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.
Kwamba hatishiki wala kukuruka.
Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao.
View attachment 2729538
Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin kumuwahisha akasamehewe na mola?
Kumbe ana nini Putin kuliko akina tolu wasiokuwa na uhimilivu dhidi ya wapinzani wao?
Hufuatilii habari na update, usingeuliza