Anaogopa kukamatwaIlikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkurano wa BRICS...
Ni makosa yako mwenyewe kutokufuatilia taarifa kwa muda sahihi.
Ilishatangazwa tokea mwezi wa 7 ya kwamba putin hatokwenda afrika kusini na atawakilishwa na sergei lavrov.
Na uamuzi huo ulitiwa mkazo zaidi na serikali ya afrika kusini
Narejea tena fatilia habari kwa muda sahihi"Kukacha ni kukacha tu hata itangazwe mwaka juzi!"
Rais Putin yupo Afrika Kusini, tuone kama ICC watamkamata
Mara ngapi zimefanyika safari za kushtukiza hadi Kunduz, Kandahar au Bahgdad huko nyakati tete kweli kweli?
Si kuwa hatufatilii twafatilia sana, ila hadi mwisho kujiridhisha.
Hapa tulipo ndipi kwa uhakika kabisa, sasa tunasema:
"Putin Kaufyata, fyuuuu!"
Narejea tena fatilia habari kwa muda sahihi
Ni lini putin alikwenda afrika kusini kwa miaka hii miwili.
Huyo aliyeanzisha thread na hata mshana jr walitumia clip hii ya video
View: https://youtu.be/LOJrdVu7GoQ?si=8Q31pCeEXbC9mJGf
Narejea haipo safari ya rais wa marekani
ambayo hutangazwa kabla kwenda maeneo tata: Kunduz, Kabul, Bahgdad, au Kandahar huko.
Hivyo hata taarifa ya Putin Sauzi ingeweza kuwa danganya toto. Kwa sasa tunajua aliufyata!
Hukuwasikia nduguze kina njalas hawa tukiwavutia upepo hadi leo?
Rais Putin yupo Afrika Kusini, tuone kama ICC watamkamata
Siku hizi teknolojia si lazima mtu ambae yupo busy ana vita kwake awepo hapo. Amehudhuria na amehutubia online.Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.
Kwamba hatishiki wala kukuruka.
Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao.
View attachment 2729538
Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin kumuwahisha akasamehewe na mola?
Kumbe ana nini Putin kuliko akina tolu wasiokuwa na uhimilivu dhidi ya wapinzani wao?
Siku hizi teknolojia si lazima mtu ambae yupo busy ana vita kwake awepo hapo. Amehudhuria na amehutubia online.
Hakutaka kuiweka South Africa kwenye Mgogoro wa Kikatiba ma Diplomasia. That's was the point