Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.
Kwamba hatishiki wala kukuruka.
Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao.
View attachment 2729538
Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin kumuwahisha akasamehewe na mola?
Kumbe ana nini Putin kuliko akina tolu wasiokuwa na uhimilivu dhidi ya wapinzani wao?
Hufuatilii habari na update, usingeuliza
SI kuwa ungekuwa unasoma habari, updates na nyuzi usingeandika hiki ulichoandika hapa? Kwani umewaona warusi hasa wale wenyewe hapa? Au nawe umejiunga nao tangu lini?
Kumbe wewe uliona umeulizwa swali? 🤣🤣
JF siyo reja reja kama ambavyo ungetaka kujiaminisha ndugu.
Putin alisema haji mda mrefu sana wakati huku wa africa wanaendelea kulumbana
Tena kabisa, utumbo mpaka keshokutwa siuelewi.Huna hiyo akili ya kuelewa
Hijab zinawatafuna akili.... kichwa kinataka kupumua.Tena kabisa, utumbo mpaka keshokutwa siuelewi.
Sasa jihadists,wazee wa vipedo na makobazi wanamuona Putin kama Ayotollah mwenzao,kwa jinsi wanavyompigia kifua.Kisa anashirikiana na Iran kutengeneza drones 🤔Tena kabisa, utumbo mpaka keshokutwa siuelewi.
Ni makosa yako mwenyewe kutokufuatilia taarifa kwa muda sahihi.
Ilishatangazwa tokea mwezi wa 7 ya kwamba putin hatokwenda afrika kusini na atawakilishwa na sergei lavrov.
Na uamuzi huo ulitiwa mkazo zaidi na serikali ya afrika kusini
Hapo ukilifunua uvundo tupu