Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa kivipi mkuu?, Umeshaona hekali za makaburi huko ukraine?,,
Sawa putin yuko realistic, huwezi ukapambana na nchi ambayo inapata full support ya west na hali ikawa nyepesi,, hii ni sawa na vita vya vietnam au korea, wakati nchi za magharibi walipata hali ngumu kipindi hicho, kwa vile vietnam ama north korea ilipata full support ya china na USSR,
Tofauti tu ni kuwa, Russia anapigana in his own backyard,, hivyo hilo litaifanya hii vita iwe ngumu pia kwa nchi za magharibi,
Binafsi nasubiri tufunge mwaka hapo february 23,, ndo tutaona nini kitatokea,, fununu ni kuwa Russia wanajiandaa kuingia ukraine via Beralus,, which means kiev na kharkiv ndio zitakuwa target, hiyo sasa italazimu either Poland nao waingize jeshi kumsaidia ukraine rasmi,, na hapo ndo tutajua mbivu na mbichi, maana poland ni NATO,
RUSSIA anacommit 200,000 jeshi ndani ya ukraine, karibu nusu yake ni mercenary wa wagner,
So approximately, Russia ameweka jeshi la watu 100000,
Russia ina active soldiers karibu milion 1,
Hii maana yake, Russia amecommit just 10% ya capability,, akiamua kwenda full force ndani ya ukraine, tutaongea habari ingine