Putin na Kim Jong UN wamekubaliana kusaidiana endapo mmojawapo atashambuliwa

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
1718815788071.png

Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa.

Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima awe na upande alochaguwa.

Mafano wiki kadhaa zijazo, NATO nao wanakaa kikao kujadili namna ya kuiadhibu China ili ichague kati ya West au Russia. Kwasababu Mchina anamsadiai mrusi kule kwenye vita na Ukraine.
---

SEOUL, South Korea — Russian President Vladimir Putin and North Korean leader Kim Jong Un signed a new pact Wednesday that includes a pledge of mutual defense if either is attacked.

The agreement was sealed at a summit in Pyongyang during a rare visit by Putin to the reclusive nuclear-armed state as both countries face growing confrontations with the West.

In a news conference after the summit, Putin said the agreement, which he called “a truly breakthrough document,” reflected the two countries’ shared desire to raise relations to a new level — covering security, trade, investment, and cultural and humanitarian ties.

Kim said it was a peaceful agreement that elevated relations to an alliance.

The comprehensive strategic partnership between the two countries, both of which have been isolated by global sanctions, could expand transfers of military technology to Pyongyang in exchange for supplies of munitions that Moscow’s military badly needs for its war in Ukraine. U.S. officials previously told NBC News that such transfers could vastly enhance North Korea’s nuclear weapons and missile programs and threaten the Asia-Pacific region.

Kim, who has been accelerating weapons testing and stoking tensions with U.S. ally South Korea, on Wednesday promised his “full support” for what Russia calls its “special military operation” in Ukraine.

North Korea had been providing Russia with “significant munitions,” as well as other weapons for use in Ukraine.

U.S. intelligence officials believe Putin is providing North Korea with nuclear submarine and ballistic missile technology in exchange, six senior U.S. officials have told NBC News. The Biden administration, they said, is concerned that Russia might help North Korea complete the final steps needed to field its first submarine capable of launching a nuclear-armed missile.
 
Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa.

Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima awe na upande alochaguwa.

Mafano wiki kadhaa zijazo, NATO nao wanakaa kikao kujadili namna ya kuiadhibu China ili ichague kati ya West au Russia. Kwasababu Mchina anamsadiai mrusi kule kwenye vita na Ukraine.
Mambo ya ugomvi ugomvi wa Marekani wameipandisha daraja Korea Kaskazini tunayoambiwa ni nchi ya njaa mpaka wamekuwa washirika wa taifa kubwa kama Urusi.
Houth nao na Hizbullah wanapanda mpaka wataheshimiwa na majirani zao wote.
 
Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa.

Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima awe na upande alochaguwa.

Mafano wiki kadhaa zijazo, NATO nao wanakaa kikao kujadili namna ya kuiadhibu China ili ichague kati ya West au Russia. Kwasababu Mchina anamsadiai mrusi kule kwenye vita na Ukraine.
Kama ni hivyo Moscow wakubali Ukraine ijiunge na NATO ili isaidiwe ikishambuliwa au??
 
Marekani labda kwenye chaguzi zijazo ndipo watakapoweza kupata marais imara kama Ronald Reagan au George Bush Jr ambao ndio watakuja kudhibiti wakuda kama hawa madikteta Putin na Kim Jon Un.
Urusi unailinganisha na Iraq au Libya? Marekani amawehu pigana vita na Taifa lipi kenye nguvu za Nuclear? au Taifa la Pili kwa nguvu za Kijeshi Duniani? acha kuongea uharo Broo
 
Mkuu sema palę Ukrainę mrusi kabanwa ndo maana anachukuwa hatua ambazo ni hatari kabisa kwa mustakabali wa amani ya dunia.

Pale wanatumia kama uwanja wa kupima silaha zao mpya nk. Hadi sasa hivi Putin kapewa silaha nyingi tu na Kim Jon Un. Na China wanampa mrusi msaada wa kiuchumi.

Ukiona hizo movements za Putin ni kujiweka kwenye nafasi nzuri endapo watakuja ku negotiate. Lakini kwenye uwanja wa vita wameshindwa kuwadhibiti Ukraine, na hizi purukushani zake ni kwasababu Ukrainę amesharuhusiwa kushambulia target ndani ya Russia kwa kutumia silaha alizopewa na marekani.

That was the game changer. So let’s see what unfolding…

Definitely something bigger is slowly but surely cooking.
 
Marekani labda kwenye chaguzi zijazo ndipo watakapoweza kupata marais imara kama Ronald Reagan au George Bush Jr ambao ndio watakuja kudhibiti wakuda kama hawa madikteta Putin na Kim Jon Un.
Unaota mchana yaani shetani na mama mkwe wake wameshindwa kuidhiti Urusi na korea kaskazini leo unaondelea hawa wala chips
 
Mkuu sema palę Ukrainę mrusi kabanwa ndo maana anachukuwa hatua ambazo ni hatari kabisa kwa mustakabali wa amani ya dunia.

Pale wanatumia kama uwanja wa kupima silaha zao mpya nk. Hadi sasa hivi Putin kapewa silaha nyingi tu na Kim Jon Un. Na China wanampa mrusi msaada wa kiuchumi.

Ukiona hizo movements za Putin ni kujiweka kwenye nafasi nzuri endapo watakuja ku negotiate. Lakini kwenye uwanja wa vita wameshindwa kuwadhibiti Ukraine, na hizi purukushani zake ni kwasababu Ukrainę amesharuhusiwa kushambulia target ndani ya Russia kwa kutumia silaha alizopewa na marekani.

That was the game changer. So let’s see what unfolding…

Definitely something bigger is slowly but surely cooking.
Endelea kuota
 
Mkuu amka kumekucha utajinyea kitandani
 
Kwahiyo unchokishadadia hapa ni nini?
Kama unafurahia NATO kuipa Ukraine silaha hatari kwaajili ya kushambulia Urusi huoni hiyo itapelekea Urusi kuwapa maadui wa marekani silaha hatari kwaajili ya kushambulia wanachama wa NATO au mali za NATO?
Fikiria leo hii Urusi akiwapa hamas mabomu ya hypersonic, huoni wayahudi watahama pale mashariki ya kati huku yale machumachuma ya marekani pale mashariki ya kati yakiwa hatarini?

Tuendako ni kubaya sababu maadui wa marekani na washirika wake watapewa silaha za kuweza kupenya popote ndani ya wanachama wa NATO alafu uone dunia itakavyokuwa sehemu hatari kwa maisha ya mwanadamu sababu marekani na washirika wake wanawapa maadui wa Urusi na China silaha hatari kwaajili ya kuwashambulia.
 
Back
Top Bottom