jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
- Thread starter
- #21
Mkuu wapi nimefurahia? Mimi naelezea uhalisia na uchosema sipingani nacho.Kwahiyo unchokishadadia hapa ni nini?
Kama unafurahia NATO kuipa Ukraine silaha hatari kwaajili ya kushambulia Urusi huoni hiyo itapelekea Urusi kuwapa maadui wa marekani silaha hatari kwaajili ya kushambulia wanachama wa NATO au mali za NATO?
Fikiria leo hii Urusi akiwapa hamas mabomu ya hypersonic, huoni wayahudi watahama pale mashariki ya kati huku yale machumachuma ya marekani pale mashariki ya kati yakiwa hatarini?
Tuendako ni kubaya sababu maadui wa marekani na washirika wake watapewa silaha za kuweza kupenya popote ndani ya wanachama wa NATO alafu uone dunia itakavyokuwa sehemu hatari kwa maisha ya mwanadamu sababu marekani na washirika wake wanawapa maadui wa Urusi na China silaha hatari kwaajili ya kuwashambulia.