Putin na Kim Jong UN wamekubaliana kusaidiana endapo mmojawapo atashambuliwa

Putin na Kim Jong UN wamekubaliana kusaidiana endapo mmojawapo atashambuliwa

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
Pamoja na kwamba hapa siyo pahali pake, lakini hiyo certificate ya lab tech ni ya field gani?

You’ve mentioned blending/syrup operator. Maabara ambayo umewahi kufanya kazi inauusika na products gani?
 
Hiyo ku koswa koswa siifahamu ila wananaomzunguka Zelensky ni wanazi haswa.

Ukraine ilikuwa hivyo kipindi cha Serikali ya Yanukovych, alipochagua kuchukua mkopo wa Urusi (usio na masharti) na kukataa mkopo wa IMF ambao ulikuwa na sharti la kubadilisha sheria za umiliki ardhi ili kuruhusu wageni wamiliki, akapinduliwa na Maydan 2014.

Historia ya Cremia, Donbas yote na mwambao wote mashariki mwa Dnieper river, mpaka Odessa, yote hiyo ni Novorassiya. Na Catherine the great ndiye aliyeijenga Odessa. Ndiyo maana maeneo hayo mpaka leo wanaongea kirusi. Aliyegawa Cremia kuwa Ukraine ni Khrushchev. Neo Nazi walikuwa wanapiga mabomu raia wa hayo maeneo kwa miaka 8, sasa ulitaka Urusi wafanyeje?

Hakuna ushahidi wowote Warusi walisema watamaliza vita kwa wiki kadhaa. Wao hawakutaka vita na Ukraine pia hawakuitaka, hata wanajeshi wao wanakiri hilo. Walikubali kukaa mezani na kuyamaliza, sharti likiwa ni kutojiunga NATO ila Johnson alipoenda Kiev mambo yakabadilika.
Mkuu with all due respect, unaongea kama mrusi. Mfano abreviations ni alizotumia Putin kwa minajili ya propaganda. Maana yote aliyosema mwanzoni prewar kuna mabadiliko mengi. Nitakuwekea baadhi ya habari na source kuhusu majaribio ya kumuuwa Żeleński yalipofanyika.

Sasa sina nia ya kwenda deep into the history kama mifano yako ya Odessa nk. Maana hao kwa kiasi kikubwa ni kama ndugu tu. Mimi nazingatia sovereignty pamoja na internationally recognized borders. Maana kwa upande mkubwa, wasiwasi wa Putin ni proximity ya NATO vis-à-vis Russia.

"Special military operation" (also "special operation", and abbreviated as "SMO" or "SVOis an official term used by the Russian government and pro-Russian sources to denote the Russian invasion of Ukraine.[1][2][3][4] It is widely considered to be a euphemism created to minimize and obfuscate the true nature of the full-fledged war started by Russia, and to claim Russian victory in the operation no matter the results.[5][6][7][8]

It addressed the citizens of Russia and Ukraine, the Armed Forces of Russia and Ukraine, and the international community. Putin announced that Russia was launching a "special military operation" to defend the Russian-controlled territories in eastern Ukraine—the Donetsk People's Republicand Luhansk People's Republic—under Article 51 of the United Nations Charter. Russian elements in the separatist regions had been at war with Ukraine since 2014, and Russia had recently become the first state to recognize them as independent. Putin claimed that Ukraine had been committing genocide against Russian speakers in the region; that Ukraine's government were neo-Nazis under Western control; that Ukraine was developing nuclear weapons; and that NATO was building up military infrastructure in Ukraine, threatening Russia. These allegations were widely rejected as untrue.

Putin said that Russia was acting in self-defense, that its goal was the "demilitarization and denazification" of Ukraine, and claimed that Russia had no plans to occupy Ukrainian land. He threatened severe consequences for any country that intervened. The invasion began immediately after Putin's announcement.

Ukraine akikubali hilo sharti ni suala la muda tena hapo mbeleni Mrusi atarudi kutaka kipande kingine bora ampe tu nchi yote kama anataka amani ya kudumu otherwise apigane mpaka waishe.
Putin anasema kama siyo mataifa ya magharibi, vita na Ukraine angeimaliza kwa wiki moja.

Ndo maana ameenda kuomba misaada North Korea, Vietnam na pia kasaidiwa sana na Iran na China. Huko kote akienda anasema tatizo ni west.

Lakini kuna warusi wa JF wanabisha tu.

  • Thanks
Reactions: Tsh
Hiyo ku koswa koswa siifahamu ila wananaomzunguka Zelensky ni wanazi haswa.
Ever since Russian paratroopers attempted to land in Kyiv and assassinate President Zelensky in the early hours and days of the full-scale invasion in February 2022, plots to assassinate him have been commonplace. The Ukrainian leader said at the start of the invasion he was Russia's "number one target".7 May 2024

Putin hataki tena kuondoa utawala wa Zelensky. Anataka kuachiwa majimbo tu ambayo wamechukuwa kwa nguvu mfano Crimea na Donbas ndo vita iishe.

Ukraine anataka Russia arudi kwenye mipaka inayotambulika kimataifa. Hataki kuachia ardhi.

Kama Putin anataka kumaliza hii issue. Ashambulie Kyiv na kumuondoa Zelensky na kufutilia mbali utawala wake na aichukue Ukraine yote ambayo ilikuwa USSR wakati yeye akiwa KGB.

Shida iko wapi?

Just think bila mihemko.
Mmmmh!
 
Pamoja na kwamba hapa siyo pahali pake, lakini hiyo certificate ya lab tech ni ya field gani?

You’ve mentioned blending/syrup operator. Maabara ambayo umewahi kufanya kazi in audios na products ganil

Pamoja na kwamba hapa siyo pahali pake, lakini hiyo certificate ya lab tech ni ya field gani?

You’ve mentioned blending/syrup operator. Maabara ambayo umewahi kufanya kazi inauusika na products gani?
Ni field ya lab technology in industrial. Niliwahi kufanya kazi katika kiwanda cha uzalishaji pombe spirit na wine yani konyagi kwahyo kazi ni kuhakikisha ubora na kufanya analysis mbalimbali na kublending
 
Putin anasema kama siyo mataifa ya magharibi, vita na Ukraine angeimaliza kwa wiki moja.

Ndo maana ameenda kuomba misaada North Korea, Vietnam na pia kasaidiwa sana na Iran na China. Huko kote akienda anasema tatizo ni west.

Lakini kuna warusi wa JF wanabisha tu.

Ushabiki
 
Imeloa hujui historia ya dunia ww unachojua ni kubisha na ushabiki maandazi
Ningemuunga mkono huyo dikteta unayemuona mtume wenu mpya ungenipatia bonge ya Like , sasa sijui nani mwenye ushabiki maandazi hapo..
 
Ever since Russian paratroopers attempted to land in Kyiv and assassinate President Zelensky in the early hours and days of the full-scale invasion in February 2022, plots to assassinate him have been commonplace. The Ukrainian leader said at the start of the invasion he was Russia's "number one target".7 May 2024

Naftali Bennett (waziri mkuu mstaafu wa Israel) alishasema kuwa Putin alimhakikishia hawana nia ya kumuua Zelensky. Anachotakiwa kuogopa ni wao neo Nazi, ndiyo maana alimwodoa Zaluzhnyi, maana anaungwa mkono sana na hao jamaa.
 
Mimi nazingatia sovereignty pamoja na internationally recognized borders. Maana kwa upande mkubwa, wasiwasi wa Putin ni proximity ya NATO vis-à-vis Russia.
Anahaki ya kuwa na wasi wasi, 1991 ilikuwa "Not an inch to the east", sasa imekuwa 100s of miles to the east.
"Special military operation" (also "special operation", and abbreviated as "SMO" or "SVOis an official term used by the Russian government and pro-Russian sources to denote the Russian invasion of Ukraine.[1][2][3][4] It is widely considered to be a euphemism created to minimize and obfuscate the true nature of the full-fledged war started by Russia, and to claim Russian victory in the operation no matter the results.[5][6][7][8]

It addressed the citizens of Russia and Ukraine, the Armed Forces of Russia and Ukraine, and the international community. Putin announced that Russia was launching a "special military operation" to defend the Russian-controlled territories in eastern Ukraine—the Donetsk People's Republicand Luhansk People's Republic—under Article 51 of the United Nations Charter. Russian elements in the separatist regions had been at war with Ukraine since 2014, and Russia had recently become the first state to recognize them as independent. Putin claimed that Ukraine had been committing genocide against Russian speakers in the region; that Ukraine's government were neo-Nazis under Western control; that Ukraine was developing nuclear weapons; and that NATO was building up military infrastructure in Ukraine, threatening Russia. These allegations were widely rejected as untrue.

Putin said that Russia was acting in self-defense, that its goal was the "demilitarization and denazification" of Ukraine, and claimed that Russia had no plans to occupy Ukrainian land. He threatened severe consequences for any country that intervened. The invasion began immediately after Putin's announcement.

Under the same UN charter, the republic of Kosovo is recognized but not the Luhansk and Donetsk people's republics, that's a double standard my friend.
 
Naftali Bennett (waziri mkuu mstaafu wa Israel) alishasema kuwa Putin alimhakikishia hawana nia ya kumuua Zelensky. Anachotakiwa kuogopa ni wao neo Nazi, ndiyo maana alimwodoa Zaluzhnyi, maana anaungwa mkono sana na hao jamaa.
Mkuu Naftali kusema kuwa amehakikishiwa na Putin yeye kama nani?

Amehakikishiwa kivipi na ni lini? Kwasababu mwanzoni kabisa “paratroopers” walishuka pale Kyiv na kujaribu kumuuwa.

Since then, it has been an ongoing effort…
 
Mkuu Naftali kusema kuwa amehakikishiwa na Putin yeye kama nani?
Zelensky anaasili ya kiyahudi, hivyo wayahudi walitaka kujuwa nini hatma yake.
Amehakikishiwa kivipi na ni lini? Kwasababu mwanzoni kabisa “paratroopers” walishuka pale Kyiv na kujaribu kumuuwa.

Since then, it has been an ongoing effort…
Kupeleka Paratroopers Kiev ilikuwa ni kutengeneza mazingira ya kurudi mezani, kumbuka kabla ya hapo teyari kulikuwa na Minsk 1 & 2, ambayo Angela Merkel alikiri baadae, ilikuwa ni kuvuta muda ili kulisuka jeshi la Ukraine.

Putin alipeleka Ukraine jeshi la 150K, huwezi kuikamata nchi kubwa na yenye jeshi karibu milioni moja kwa askari 150K. Hakukuwa na nia ya kummuua Zelensky, kwasababu walimuhitaji ili kufanya majadiliano.
 
Mkuu Naftali kusema kuwa amehakikishiwa na Putin yeye kama nani?

Amehakikishiwa kivipi na ni lini? Kwasababu mwanzoni kabisa “paratroopers” walishuka pale Kyiv na kujaribu kumuuwa.

Since then, it has been an ongoing effort…
 
Attachments

  • Screenshot_20240324_230511_Chrome.jpg
    Screenshot_20240324_230511_Chrome.jpg
    362 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240324_230600_Chrome.jpg
    Screenshot_20240324_230600_Chrome.jpg
    331.5 KB · Views: 3

2022​

edit
According to the Ukrainian government, in early February 2022, Russian president Vladimir Putininstructed Chechen leader Ramzan Kadyrov to eliminate Ukrainian leaders.[5] In early March, Ukraine intelligence said that Chechen commandos sent to assassinate Zelenskyy had been "eliminated", with help from FSB agents sympathetic to Ukraine.[6]

In February 2022, Redut PMC was ordered on a covert mission in the Kyiv region to infiltrate and eliminate the political leadership and the Ukrainian Secret Service, by storming those institutions.[7]More than one thousand fighters entered the Kyiv region for this purpose,[8] however the mission failed due to the Ukrainian government having prior intel regarding the plan, resulting in Redut losing up to 90% of their fighting force.[9]

More than 400 Russian mercenaries from the Wagner Group were reported to have been in Kyiv by late February 2022, with orders to assassinate Zelenskyy and destabilise the government enough for Russia to take control.[10]

2023​

edit
In August 2023, it was reported that another alleged assassination attempt had been stopped after Ukraine's security service arrested a woman who was suspected of gathering information on Zelenskyy's trip to the Mykolaiv region.[11]

2024​

edit
In April 2024, a man was arrested in Poland and was allegedly tasked with collecting information about Rzeszow-Jasionka Airport, which is used by Zelenskyy, alongside possible aid towards Russian intelligence services on an assassination of him. [12]

In May 2024, two Ukrainian colonels were arrested for treason in an alleged plot by the FSB to create a network of agents in an attempt to subdue those close to Zelenskyy and eventually take hostage and kill the President. The arrested colonels were members of the State Security Administration, and three FSB members — Maxim Mishustin, Dmytro Perlin and Oleksiy Korne — were identified as those formulating the plot. Kyrylo Budanov, a Ukrainian general, was reported to be the first to be assassinated in the plan, originally to be carried out prior to Orthodox Easter sunday on May 5.[13][14]

US sends aircraft carrier to South Korea
1719204418906.jpeg

The United States has sent an aircraft carrier to South Korea for joint military drills in a show of strength after Vladimir Putin and Kim Jong-un met in Pyongyang.

The announcement came a day after South Koreasummoned the Russian ambassador to Seoul to protest against a defence deal signed by Putin and the North Korean leader this week, which included a pledge to come to each other’s aid if attacked

“The US navy’s aircraft carrier Theodore Roosevelt... arrived at the Busan Naval Base on the morning of June 22,” the South Korean navy said.

Its arrival “demonstrates the strong combined defence posture of the South Korea-US alliance and their firm resolve to respond to the escalating threats from North Korea”, it added.

The carrier’s visit comes about seven months after another US aircraft carrier, the USS Carl Vinson, came to the South in a show of strength against Pyongyang.

The USS Theodore Roosevelt is expected to participate in joint exercises with South Korea and Japan this month. Pyongyang has always decried similar drills as rehearsals for an invasion.

The US, South Korea and Japan have expanded their joint training exercises and heightened the visibility of strategic US military assets in the region to deter the North, which has declared itself an “irreversible” nuclear weapons power.

The carrier arrived a day after Seoul said it had fired warning shots when North Korean soldiers crossed the border in the third such incursion this month.

North Korean soldiers have been engaged in activities such as laying more landmines, reinforcing tactical roads and adding what seemed to be anti-tank barriers near the border, according to the South Korean military.

The two Koreas have also been locked in a “balloon war”, with an activist in the South confirming that he had floated more balloons carrying propaganda to the north.

Pyongyang has sent more than a thousand balloons carrying trash southward, and Kim’s powerful sister Kim Yo-jong has warned that her country is likely to retaliate.

US sends aircraft carrier to South Korea
 
Ukraine haina jeshi kama mwanzo kiasi inakamata mpaka raia huko mtaani ili kuwalazimisha waingie jeshini.
Unaongea kana kwamba Urusi ina jeshi imara sana kiasi kwamba halijapata madhara yoyote kwenye hii vita.

Kwa taarifa yako, Urusi inatumia mpaka raia wa kigeni walioingizwa jeshini kinyemela (human trafficking) baada ya kudanganywa/kulaghaiwa kwamba wanaenda Urusi kupatiwa elimu ya chuo kikuu na ajira zenye mishahara mizuri.

Matokeo yake sasa...

rus1.png

Mtandao wa biashara [haramu] ya kusafirisha binadamu:
indi1.png

Jisomee zaidi:
 
Dhumuni la hii SMO haikuwa kuondoa utawala wa Ukraine bali kudhoofisha jeshi hilo na kuuondoa unazi (wafuasi wa Bandera).
Unawezaje kudhoofisha jeshi la adui yako na hatimaye kuondoa huo "unazi" bila ya kuondoa utawala wa hiyo nchi?

Maana, anayefanya recruitment na mobilization ya majeshi na kuyahudumia ikiwemo kulipa mishahara n.k. ni utawala uliopo, na Zelenskyy ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Ukraine.

Kwa kifupi, dhumuni la kuuondoa utawala lilikuwepo ila lilifeli kwenye utekelezaji mwanzoni kabisa mwa "SMO".

rus3.png

Kwingineko:
rus2.png

Jisomee zaidi:
 
Back
Top Bottom