Putin: Vikwazo vya Magharibi vimepelekea janga la chakula duniani

Putin: Vikwazo vya Magharibi vimepelekea janga la chakula duniani

Acha kabisa kumuita mwendazake ni mgonjwa wa akili kwani waliosema kilimo kwanza wako wapi?
Yule mwendazake ni tulipata mtu mgonjwa WA akili kama nchi ingeamua kuchukua upande WA kilimo kama njia ya kuongeza pato la nchii Leo hii hiii nchi ingekuwaa muuzaji mkubwa WA chakula nje mtu anakimbulia kununua mindege ili apate sifa za kisiasa Kwa miaka mi5 alikuwa anatoa bajeti kidogo kwenye ununuzi WA chakula bila kurudisha kwenye uimarishaji WA miundombinu ya kilimo
 
Leo sisi tunaagiza ngano za zaidi ya 80% kutoka nje tena ni Russia na Ukraine ambao sasa wapo kwenye mapigano, leo sisi tunaagiza sukari Brazil, na sukari yao ina bei nafuu kuliko ya hapa.

Sisi wa kununua mchele kilo 2,800? Unga 1,200? Nyanya moja 200? Mafuta ya kula lita sasa hivi ni 2,800 wakati tuna dodoma, singida, kigoma n.k Ni upuuzi mtupu. Yule msukuma wengi wanamuona shujaa lakini ni moja ya marais wabovu kutawala nchi hii, mtu anayependa kuabudiwa, sifa n.k

Tungewekeza zaidi ktk kilimo walau wananchi tusingekuwa na bughudha juu ya utawala, chakula bei ghali, bado ela pia ni ngumu mtaani.
Ila nimwaka mzima toka afe? Ila hakuwepo kwenye urais toka Mungu aiumbe tanganyika. Ila alitawala miaka mitano tu. Sasa tujiulize wengine wamefanya nini ambacho ye alikiharibu. Baada ya yeye aliyepo kafanya nini tukiondoa tozo za kizalendo. Kumpa lawama jpm ni kuonyesha unamfikilia sana kwenye akili yako kwa tafasri nyingini ni mtu mhimu maishani mwako

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kremlin chief cautioned that higher energy prices combined with a shortage of fertilisers would prompt the West to print money to buy up supplies, leading to food shortages among poorer countries.
kumbe mazungu yenyewe yatajichapishia pesa hasa kupitia Quantitative Easing kununua misosi yakituacha tunaotegemea chapati za Azam tukiwa macho wazi
 
Gharama za vyakula kupanda bei nchi kama Tanzania, Congo ni uzembe. Ni kweli sisi hatuna ardhi ya kutosha kuweza kulima Alizeti, na mazao mengine ya kuweza kukidhi matakwa yetu?

Tuliagiza ndege na tumeziendesha kwa hasara, tungewekeza kwenye kilimo kisingekwamua maisha? Mkapa aliwezaje? Maslahi ya viongozi inakuja inaharibu mpaka food security ndani ya Taifa.
Na wewe uliagiza ngege
 
Yule mwendazake ni tulipata mtu mgonjwa WA akili kama nchi ingeamua kuchukua upande WA kilimo kama njia ya kuongeza pato la nchii Leo hii hiii nchi ingekuwaa muuzaji mkubwa WA chakula nje mtu anakimbulia kununua mindege ili apate sifa za kisiasa Kwa miaka mi5 alikuwa anatoa bajeti kidogo kwenye ununuzi WA chakula bila kurudisha kwenye uimarishaji WA miundombinu ya kilimo
Chunga kauli zako wewe unashamba kweli wewe kilimo unakifaham
 
Back
Top Bottom