Wewe nafikiri ni muhuni fulani tu wa kariakoo huna elimu yeyote ya kinachoendelea duniani na wala huna exposure yeyote. Ulichobahatika kutokana na pesa za udalali ni kupata smart phone basi ndiyo unaona umevusha!Mimi hao islamist na christians hawanihusu. Kwa sababu mimi ni mwafrika, sio mzungu, mwarab wala myahudi. Hizo dini ni za wazungu, waarab na wayahudi. Wewe jitu jeusi umefanywa mpumbavu kwa kupokea imani za wenzako ambazo zilianzishwa au kutungwa wewe ukiwa haupo.
Wewe na baadhi ya wafia dini wenzako humu ni miongoni mwa waafrika wanaofanya hao walioleta dini zao watuone sisi wote watumbavu kwa sababu ya kutaka kujifananisha na wao kiimani na kiitikadi huku hao walioleta dini zenyewe wengi wao wakiwa wameachana na ujinga wa kwenda kupiga magoti na kulia lia kwa mtu wasiemuona.
Leo hii ukienda Marekani, Ulaya na hata huko Israel kwenyewe hauwezi kukuta mijitu mipumbavu inakesha kila siku kuomba mungu wasiemjua. Kwanza hao waisrael wenyewe wanaona kuwa hizi dini ni fix tu na huyo yesu hawajawahi kumuona.
Halaf wewe mpumbavu wa vigwaza unaetumia majani kuchambia ndo unajifanya unaimani na uwepo wa yesu ambao wenyewe wayahudi wanasema bado hajaja duniani. Hao wapumbavu wenzako kina Netanyahu sio wayahudi original, bali ni mchanganyiko wa wazungu waliokusanywa na kuletwa mashariki ya kati kwa mpango maalum. Leo hii Israel swala la kupima DNA halipo baada ya Netanyahu kugundulika vyema kuwa ana asili ya Poland.
Halaf hao wayahudi wenu wa mchongo (wazungu) wamefika pale Palestina mwaka 1947 hadi 1948 na kuwakuta wenyeji wenye nchi yao (wapalestina) wapo pale kitambo.
Kwa vile mada yangu haihusu ukristo wala uislam, acha tu nikupuuze nisiendelee kujibizana na mtu anaetumia udini badala ya elimu kujibu hoja zangu.
Kama hao wazungu waliokuletea fupa la dini uhangaike nalo wanatambua uwepo wa wapalestina, wewe mpumbavu ulieshikiwa akili na mchungaji wako ni nani mpaka upingane nao?
Leo 2024 bado unajadili mada kwa kutumia dini za wakoloni. Wewe una akili kweli au ni boya lililosetiwa kwa ajili ya kuleta sadaka kanisani!!
Wewe unavyomshobokea Putin na Xi ( kwanza ninauhakika hata hiyo Xi hujui inatamkwaje) hujui kuwa ndiyo umewafanya miungu wako!!??
Halafu mijitu yote yenye roho mbaya kama wewe huwa inafuata idiologies za Kikomunist au Kisoshalisti. Na muda wenu nyinyi Misoshalisti unakaribia; uliza wenzio kilichoipata Soviet Union na Eastern Europe. Muda wenu wa kufutiliwa mbali unakaribia. Na mbaya zaidi mlipokuja kujichanganya na Maislamists na muslim brotherhood lazima mpotee. Utaiona Israel ikiwa hapo hapo na ukiristo utashangaa tu licha ya kusaidiwa na yule muovu ambaye anatambulika kwa jina SHETANI na ALLAH hamtaushinda ukiristo. Mtaanza kugeukiana nyinyi kwa nyinyi na kumalizana