masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Utawaweza watanzaniaHuyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliza wanaomchukia wanasababu gani!! Utashang'aa hawanaHuyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heshima ya Samia inashuka sababu ya wazembe , mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma . Makonda shikilia hapo hapo mpaka mchwa wote waishe .View attachment 3001428View attachment 3001440
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma.
LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda.
Makonda kiburi na ego vinamuendesha.
Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwa hiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia.
Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia.
Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwasana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
Upuuzi mtupu. Wakati anawasidia wale wanawake wengine kupata haki zao UWT na LHRC walikuwa wapi?View attachment 3001428View attachment 3001440
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma.
LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda.
Makonda kiburi na ego vinamuendesha.
Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwa hiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia.
Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia.
Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwasana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
Unajizima data hujui alichokifanya akiwa darHuyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anamheshimu huyo mamaako Zaid ya chawa wake?
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwa hiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwasana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
Wa kulaumiwa ni mamlaka ya uteuzi. Kauli zake ni dhahiri anamdharau hata huyo aliyemteua kuwa hawezi kumfanya chochote. Ukicheza sana na mbwa utaingia naye msikitini.