Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
images-6.jpeg

Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
images-4.jpeg
 
View attachment 3001428View attachment 3001440

Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma.
LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda.
Makonda kiburi na ego vinamuendesha.
Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwa hiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia.
Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia.
Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwasana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
Heshima ya Samia inashuka sababu ya wazembe , mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma . Makonda shikilia hapo hapo mpaka mchwa wote waishe .
 
View attachment 3001428View attachment 3001440

Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma.
LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda.
Makonda kiburi na ego vinamuendesha.
Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwa hiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia.
Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia.
Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwasana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
Upuuzi mtupu. Wakati anawasidia wale wanawake wengine kupata haki zao UWT na LHRC walikuwa wapi?
Tanzania unafiki tu. Makonda ataendelea kung'aa.. Ana nyota kali mnooo.

Kale kabinti kana mapungufu mnooo.
 
Uongozi wa Makonda umejaa hadaa tupu.

Siku zote anaamini hadaa kwa mteuzi wake inatosha kumlinda dhidi ya uovu wake wote. Alifanya hivyo kwa marehemu. Marehemu alikuja kumshtukia wakati mambo yakiwa yamrharibika kabisa.

Kwa Samia nako mpaka sasa kafanikiwa kumhadaa kuwa ni yeye Makonda ndiye mwenye uchungu na upendo mkubwa naye kuliko wengine wote.
 
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwa hiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwasana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
Nani anamheshimu huyo mamaako Zaid ya chawa wake?
 
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.

Watu wangapi wanatukanwa na kudhalilishwa mbona huwa hawasemi anything?

Watulie tu
 
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
Wa kulaumiwa ni mamlaka ya uteuzi. Kauli zake ni dhahiri anamdharau hata huyo aliyemteua kuwa hawezi kumfanya chochote. Ukicheza sana na mbwa utaingia naye msikitini.
 
Back
Top Bottom