Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Hayo ya matiti nafikiri umeona kile ulikuwa unataka kuona lakini hakufunua matiti yake.kwani pale mtumishi wa umma alidhalilishwa wapi? hivi uliona alivyokuwa anamjibu mkuu wa mkoa huku akifungua kifua kwa kumuonyesha matiti?
Hilo ni sahihi kabisa. Mbona hata wale waliosomea chuoni e.g. Human Resourses Management, Udaktari n.k. huwa wanakuwa na Orientation / Induction period? Hawa wateuliwa mbona inakuwa tofauti?Hao wateuliwa wawe wanapitishwa chuo ili wajue nini waseme na nini waache.
Naona unajichanganya tu. Ishu ni Makonda kutumia lugha ya kuudhi na kudhalilisha watumishi.Mbona hamsemi juu ya familia zinazidhulumiwa haki. Au ayafanyayo ni ya hivyo kuliko kupokea nyumba za wajane
Haondoki ng'o. Ataondolewa au Kubadilishiwa kituo cha kazi au kubadilishwa kazi na yule aliyemteua kwa wakati unaofaa. Nyie Watu wa Halmashauri lieni tu lakini komaeni na hali yenu.Watu wa halmashauri huko arusha wanatamani makonda
Aondoke hata leo π
Maana wanavyobanwa
Ova
Naona unajichanganya tu. Ishu ni Makonda kutumia lugha ya kuudhi na kudhalilisha watumishi.
Alifanya nn?
Elezea uhuni uliofanyika, ama sivyo hayo ni mawazo yako yasiyo na tija.UWT ni umoja wa wahuni na wadangaji na hao LHRC ni kikundi cha kutetea waovu na wabadhirifu kwenye ukweli huwaoni kusimama ingefutwa tu taasisi ya kihuni kabisa!
Puuutooo.........!Huo utetezi wa Bwana Bashite ni UTETEZI wa hovyo labisa..sidhani kama ATAPONA this time..
Inasikitisha sana kuona watu na ability zao timamu wanaeneza chuki dhidi ya Paul. Chuki juu ya Paul zilianza pale Dar alipowakamata wale watumiao mapenzi ya jinsia moja basi taifa moja likamzuia asiende kwenye nchi yao na mpaka leo wanatumia fedha nyingi kuwarubuni watu kumchukia Paul. Julie jee wewe pia umelipwa? Wenzako wanalipwa
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
View attachment 3001510
Nafikiri tunaongea mada mbili tofauti kabisa.Wamewasaidia wangapi kisheria kupatachaki zao. Kwa kuwapa wanasheria. Kwa ni ni hawaibui haya mpaka afike makonda
Quote:Hao LHRC,uwt na hao ccm ni vyama vya Malaya ambao walitelekezwa na waume zao.hivyo wanachuki za waume zao na wanazihamishia Kwa mzalendo makonda ambaye ame sacrify maisha yake Kwa watanzania wanaonyimwa haki na watumishi wa umma.
Wanaomchukia Paul Christian Makonda kama walivyokuwa wakimchukia John Pombe Magufuli ni WanaCCM wenyewe kwa kuwa tabia, matendo na uwazi hawaingiliani. Ukisikia mpinzani anamshambulia Makonda, basi kuna wana CCM wanawatumia kama kipaza sauti tu ukiwauliza sababu jibu litakuwa ubabaishaji tu.
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
View attachment 3001510
Aise wanalia sana maana kawabana hukoHaondoki ng'o. Ataondolewa au Kubadilishiwa kituo cha kazi au kubadilishwa kazi na yule aliyemteua kwa wakati unaofaa. Nyie Watu wa Halmashauri lieni tu lakini komaeni na hali yenu.
Yeah. Na wanaolia-lia ni wale wale wapigaji, wazururaji na walevi kwani amewafikia na anakula nao sahani moja. Watakoma.Aise wanalia sana maana kawabana huko
Ila Acha awanyooshe wezi,wavivu huko
Ova