Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

kwani pale mtumishi wa umma alidhalilishwa wapi? hivi uliona alivyokuwa anamjibu mkuu wa mkoa huku akifungua kifua kwa kumuonyesha matiti?
Hayo ya matiti nafikiri umeona kile ulikuwa unataka kuona lakini hakufunua matiti yake.
 
Hao wateuliwa wawe wanapitishwa chuo ili wajue nini waseme na nini waache.
Hilo ni sahihi kabisa. Mbona hata wale waliosomea chuoni e.g. Human Resourses Management, Udaktari n.k. huwa wanakuwa na Orientation / Induction period? Hawa wateuliwa mbona inakuwa tofauti?
 
Watu wa halmashauri huko arusha wanatamani makonda
Aondoke hata leo 😄
Maana wanavyobanwa

Ova
Haondoki ng'o. Ataondolewa au Kubadilishiwa kituo cha kazi au kubadilishwa kazi na yule aliyemteua kwa wakati unaofaa. Nyie Watu wa Halmashauri lieni tu lakini komaeni na hali yenu.:Cheergi:
 
Hao LHRC,uwt na hao ccm ni vyama vya Malaya ambao walitelekezwa na waume zao.hivyo wanachuki za waume zao na wanazihamishia Kwa mzalendo makonda ambaye ame sacrify maisha yake Kwa watanzania wanaonyimwa haki na watumishi wa umma.
 
Hii nchi haitaki viongozi wanaowasemea walalahoi.Mungu atampigania Makonda
 
Injinia mzembe anaweza ua wagonjwa wangapi kwa kujenga barabara mbovu.
 
UWT ni umoja wa wahuni na wadangaji na hao LHRC ni kikundi cha kutetea waovu na wabadhirifu kwenye ukweli huwaoni kusimama ingefutwa tu taasisi ya kihuni kabisa!
Elezea uhuni uliofanyika, ama sivyo hayo ni mawazo yako yasiyo na tija.
 
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
View attachment 3001510
Inasikitisha sana kuona watu na ability zao timamu wanaeneza chuki dhidi ya Paul. Chuki juu ya Paul zilianza pale Dar alipowakamata wale watumiao mapenzi ya jinsia moja basi taifa moja likamzuia asiende kwenye nchi yao na mpaka leo wanatumia fedha nyingi kuwarubuni watu kumchukia Paul. Julie jee wewe pia umelipwa? Wenzako wanalipwa
 
Hao LHRC,uwt na hao ccm ni vyama vya Malaya ambao walitelekezwa na waume zao.hivyo wanachuki za waume zao na wanazihamishia Kwa mzalendo makonda ambaye ame sacrify maisha yake Kwa watanzania wanaonyimwa haki na watumishi wa umma.
Quote:
"Hao LHRC,uwt na hao ccm ni vyama vya Malaya ambao walitelekezwa na waume zao."
Mkuu; (1).Unaweza kututhibitishia hilo 👆 👆 👆 ? Halafu hiyo lugha Babaaa! Lughaaaa. Wahenga walisemaga "ulimi uliiponza shingo"
(2). Hoja ya kuyaanika mapungufu ya Makonda haina shida kabisa (it is OK)kwani kila mtu ana mapungufu yake ila sema tunazidiana viwango tuu. Kwa hiyo Endeleeni kumsagia kunguni huyo Makonda wenu haina shida - labda na yeye (Makonda)atajirudi.
 
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.
View attachment 3001510
Wanaomchukia Paul Christian Makonda kama walivyokuwa wakimchukia John Pombe Magufuli ni WanaCCM wenyewe kwa kuwa tabia, matendo na uwazi hawaingiliani. Ukisikia mpinzani anamshambulia Makonda, basi kuna wana CCM wanawatumia kama kipaza sauti tu ukiwauliza sababu jibu litakuwa ubabaishaji tu.

Wimbi lililojitokeza kujifanya wanamlaani Makonda kwa kauli ya kumbana kiongozi mmoja huko Monduli wengine ni viongozi wa kada za CCM hao ndio maadui wakubwa wa wananchi wote wa Tanzania sio Makonda.

Kuna kipindi waziri wa TAMISEMI akiwa Rufiji na wananchi wake kukabiliana na changamoto za mafuriko alianza kukatishwa tamaa kwamba anapoteza muda na rasilimali bila faida. Katika majibu yake kwa wakosoaji aliagiza umoja wa vijana wa CCM wawashughulikie watu hao kwamba wasiwaache salama, lakini hakuna kiongozi yeyote kutoka umoja wa wazazi, UWT, CCM wenyewe, LHRC nk kumkemea kwa kauli ya utisho.

Lakini kijana wa watu Paul Christian Makonda anashughulika na changamoto za wananchi wanaoteswa kutokana na uzembe, uvivu, ubaibaishaji wa watendaji serikali walio chini ya mamlaka yake wenye chuki binafsi wanajitokeza bayana tena bila haya wakati hawajawahi kwenda kwa wananchi kupambana kuwatatulia wananchi shida wanazosababishiwa na viongozi halafu wanajitokeza viongozi uchwara wakidai kavunja sheria!!! Ebbo are you serious or kidding our welfares you dudes?

Enough is enough, Mkonda hajavunja sheria, kanuni wala taratibu zozote ila hawa wapiga kelele wababaishaji ndio wavunja sheria wanapowaita viongozi wanaojitolea kutatua kero za wananchi na kuwatisha kwenye vikao vyao vya ndani.
 
Haondoki ng'o. Ataondolewa au Kubadilishiwa kituo cha kazi au kubadilishwa kazi na yule aliyemteua kwa wakati unaofaa. Nyie Watu wa Halmashauri lieni tu lakini komaeni na hali yenu.:Cheergi:
Aise wanalia sana maana kawabana huko
Ila Acha awanyooshe wezi,wavivu huko

Ova
 
Makonda kanyaga twende, wasio waadilifu watanyooka tu,
 
Aise wanalia sana maana kawabana huko
Ila Acha awanyooshe wezi,wavivu huko

Ova
Yeah. Na wanaolia-lia ni wale wale wapigaji, wazururaji na walevi kwani amewafikia na anakula nao sahani moja. Watakoma.
 
Back
Top Bottom