Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Hujamuwekea post ulizowahi kuweka huku azipitie 😂
Ww dogo huwa unaota sana
 
Ufisadi woote nchi hii unafanyika BOT ipo. Hakuna jipya apa
 
Wapi aliambiwa ajibu comments zote!?
Wapo waliosema hivyo ndio nikawaeleza hiko
Lakini ili ajibu hata hizo chache si inabidi asome nyingi ili ajue ipi ya kujibu. Ww ungeweza kusa comments zote insta, comments zote Twitter na comments zote jf?
 
Ukiunganisha Tanzanialink

hatuhitaji kuwa appreciative. Hii ni forum kama nyingine tu. Iwe facebook, x, instargram. Wao kuwepo ni kuonesha hii forum ni muhimu ila sio wao ndio muhimu.
It's both ways, forum ni muhimu kutokana na uwepo wa watu, hivyo watu ni muhimu sana, bila watu, hakuna forum!, na tukija kwenye watu, we as jf members we are all equal, ila tunatofautiana kwenye umuhimu, kuna watu wa kawaida, professional, politicians, viongozi na VIP's hata Wizara na mawaziri hawafani, kuna key ministries na key ministers wanao matters most, baada ya PM, Waziri top key ni MOF, akifuatiwa na MFA, ndio wanafuata mawaziri wengine, kitendo cha MOF kuwa ni member wetu humu, hii ni heshima kubwa kwetu, ametuheshimisha, tu appreciate na tu reciprocate kwa kurudishia heshima aliyoiheshimusha jf, mawaziri zaidi wa join, nape, kitila, makonda, tibaijuka, etc ni members humu, lini umewahi kuwaona?.
P
 
Kwa mtu aliyeenda Shule ni very simple

Kitila na Zitto wamekuwa wakijibu kwenye platform zote bila mbambamba

Ni Wewe mvivu ila Dr Mwigullu PhD anaweza usimkatishe tamaa Kijana 🐼
 
Yaani tuache kumuamini CAG mstaafu tukuamini ww ambaye hata ubunge kwa rushwa na wizi?
 
😄😄😄 ila wewe tukuamini au sio mkuu
 
Kwa mtu aliyeenda Shule ni very simple

Kitila na Zitto wamekuwa wakijibu kwenye platform zote bila mbambamba

Ni Wewe mvivu ila Dr Mwigullu PhD anaweza usimkatishe tamaa Kijana 🐼
Labda kama huna akili timamu ndio utaweza kusoma comments zote kwenye unachopost kila mtandao
 
Uchaguzi umekaribia umeanza kuingia JF mara kwa mara baada ya 2025 hatutakuona tena mpka 2029, hapa inatakiwa kampuni(Auditing firm) huru kutoka nje ije kuchunguza, hatuwezi kupuuza kirahisi hivyo, Mkapa alikiri kuchota 130B ajili ya kusaidia CCM(2005). Hapa hatuwezi kumwamini CAG ambaye ni kada wa CCM kama wewe.
 
Nataka na mawaziri wengine kuiga mfano wa Mwigulu bila kujali asemalo ni kweli au la , Rais pia inawezekana akaja hapa, waziri wa mambo ya ndani tunakuitaji hapa jukwaani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…