Kwanini wewe Kama waziri unasindwa kuwa mbunifu kwenye swala zima la kukusanya mapato kiasi kwamba mnaongeza ongezo kwenye Kodi zilizokuwepo kwanini msiwe wabunifu kwenye kukusanya kodi mbona hii nchi inaweza kujiendesha yeyewe kwa resources ilizonazo kwanini mpaka mkakope ngoja nikupe mfano wa vyanzo vipya vya Kodi
Kuna saloon zote za kike na kiume ziwe baber shop ama spa wote hawa wanatakiwa kulipa Kodi
Migahawa hapa wauza chakula wote iwe mama lishe ama baba lishe ata wauza mishikaki ambao mmewafukuza kariakoo hawaki wanatakiwa walipe kodi na Hawa wauza supu ya pweza
Kuna hizi car wash zote hizi zibatakiwa kulipa Kodi
Binafsi natamani nipewe hiyo nafasi yako nifanye hii nchi ijitegemee yenyewe sio kila siku tunapitisha bakuri Leo Deni taifa ni 70.T Kama sijakosea vyanzo ni vingi vya kukusanya kodi nitafute nikupe muongozo ufanye kazi