MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Mwamba anang’ata kwa kupuliza kama panyabuku, kongole kwake.!!Anachonifurahisha Paskal kawatungia thread wanasiasa wote, yakitokeza anawapa maelezo kidogo na ku attach sifa zao
Hongera kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba anang’ata kwa kupuliza kama panyabuku, kongole kwake.!!Anachonifurahisha Paskal kawatungia thread wanasiasa wote, yakitokeza anawapa maelezo kidogo na ku attach sifa zao
Hongera kaka
HahahMwamba anang’ata kwa kupuliza kama panyabuku, kongole kwake.!!
KwakweliModerator ingekuwa busara sana taarifa hii ingeambatana na hiyo taarifa inayokanushwa ya gazeti la NIPASHE pamoja na taarifa hiyo ya taasisi ya WAJIBU inayoongozwa na Ludovic Uttoh (CAG) wa zamani
Ndugu yangu deni lishafika 98 TrillionKwanini wewe Kama waziri unasindwa kuwa mbunifu kwenye swala zima la kukusanya mapato kiasi kwamba mnaongeza ongezo kwenye Kodi zilizokuwepo kwanini msiwe wabunifu kwenye kukusanya kodi mbona hii nchi inaweza kujiendesha yeyewe kwa resources ilizonazo kwanini mpaka mkakope ngoja nikupe mfano wa vyanzo vipya vya Kodi
Kuna saloon zote za kike na kiume ziwe baber shop ama spa wote hawa wanatakiwa kulipa Kodi
Migahawa hapa wauza chakula wote iwe mama lishe ama baba lishe ata wauza mishikaki ambao mmewafukuza kariakoo hawaki wanatakiwa walipe kodi na Hawa wauza supu ya pweza
Kuna hizi car wash zote hizi zibatakiwa kulipa Kodi
Binafsi natamani nipewe hiyo nafasi yako nifanye hii nchi ijitegemee yenyewe sio kila siku tunapitisha bakuri Leo Deni taifa ni 70.T Kama sijakosea vyanzo ni vingi vya kukusanya kodi nitafute nikupe muongozo ufanye kazi
Sawa...
Wewe hauaminiki. Amatus Liyumba alichota fedha za wapi?.
Mmesha kwapua fedha kwa ajili ya kuisaidia CCM kwenye uchaguzi.
Aisee!Eti ni kweli mheshimiwa .... wizara ya magari inabajeti kubwa kuliko wizara ya ustawi wa jamii......?? Zingatia neno magari