Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Mh.Waziri kwa nini msiivunje Wizara ya Viwanda na Biashara,halafu Viwanda viende kwenye Wizara ya Nishati na Biashara iingie kwenye Wizara ya Fedha kwa kuwa wizara yako ndio inahusika na masuala ya kodi basi na biashara msimamie nyie ili mulete uwiano sahihi na itawafanya wafanyabiashara wasikwepe kodi,mtakuwa mnajua mazingira ya biashara yako vipi
 
Kwanini wewe Kama waziri unasindwa kuwa mbunifu kwenye swala zima la kukusanya mapato kiasi kwamba mnaongeza ongezo kwenye Kodi zilizokuwepo kwanini msiwe wabunifu kwenye kukusanya kodi mbona hii nchi inaweza kujiendesha yeyewe kwa resources ilizonazo kwanini mpaka mkakope ngoja nikupe mfano wa vyanzo vipya vya Kodi

Kuna saloon zote za kike na kiume ziwe baber shop ama spa wote hawa wanatakiwa kulipa Kodi

Migahawa hapa wauza chakula wote iwe mama lishe ama baba lishe ata wauza mishikaki ambao mmewafukuza kariakoo hawaki wanatakiwa walipe kodi na Hawa wauza supu ya pweza

Kuna hizi car wash zote hizi zibatakiwa kulipa Kodi

Binafsi natamani nipewe hiyo nafasi yako nifanye hii nchi ijitegemee yenyewe sio kila siku tunapitisha bakuri Leo Deni taifa ni 70.T Kama sijakosea vyanzo ni vingi vya kukusanya kodi nitafute nikupe muongozo ufanye kazi
Ndugu yangu deni lishafika 98 Trillion
 
Back
Top Bottom