Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Sio kwamba anaogopa kuumbuka!!?

UZI WA kijasusi kama huu,wadau watakuja na IDs mpya na kutoa deep documents kuonyesha how deep they are!!

Yaani anaweza kuja Luhaga Mpina hapa akamwaga data nondo tukapoteana!!

SASA NIMEELEWA KWANINI LUHAGA MPINA KAONDOLEWA BUNGENI,KUMBE KULIKUA BADO KUNA PROCESS INAENDELEA AMBAYO JAMAA ANGEHARIBU KABISA!
 
Heshima yako mkuu.
 
Ulishindwa kazi siku moja tu baada ya kuingia kwenye wizara nyeti ya nchi yetu

Endelea kunitetea! Na huwenda huko kunatokota, maana si kwa kujitetea huku, mimi namuomba Mungu atufanyie njia kwa nafisadi ya ccm

Na bado, kazi ndo kwaaanza, kila kitu kitaanikwa tu,
 
😁😁ila wewe bro na wewe una shida! Eti mtoto wa mama! Lizee hivyo na lenyewe bado linadeka?
 
Mheshimiwa, usijali kuusu kupuuzia hilo tunalifanya mkuu , tumesha mpuuzia mama yenu yule wakupenda sifa, chama cha mbogamboga na viongozi wake pamoja na wale matapeli wa madhabahuni. Mtume na type hizo. Bila kusahau jeshi la policcm. Mkuu kuna chenye nimesahau kupuuzia?
Ccm mbele kwa mbele.... 🚮
 
We Paskali weweeeeeeee.....!!!!
 
Hongera saana kwa ufafanuzi mzuriii. Sasa tunachoomba ni kuweka utaratibu mzurii kwa vyombo vya habari viache maramoja kutoa taarifa ambazo hazijahakikiwa.
 
hawezi kutoa majibu huyo!
 
Chukueni hatua za kisheria kama wamepotosha
 
Kuna mahali nimeona ushuru wa kuingiza makwanja ya kufyekea nyasi umepunguzwa. Ila sijui impact ya haya makwanja kwa watanzania milioni 60. ANAYEYATUMIA HUMU FJ NA ANYOSHE KIDOLE JAMANI.
Yatatufaa sisi wahudumia mifugo na bustani kwa mawaziri tunaoenda na vitendea kazi vyetu kupunguziwa gharama.
 
ila we mzee naamini kabisa utaanza kuchomwa hapa hapa duniani yaani utaanza kuteseka hapa hapa duniani halafu kuzimu ni muendelezo tu.

Hivi hizo hela mnazoiba hamuwaonei huruma watanzania?

Mamilioni ya watoto wa kitanzania wanasoma shule chakavu hapa nchini, huduma za afya ni ghali sana kwa mwananchi wa kawaida, mfumuko wa bei ni mkubwa sana kwa maisha ya Sasa, miradi lukuki inasuasua na kama inatekelezwa basi sio kwa wakati kwa sababu ya ufisadi, WIZI, uhujumu na ubadhirifu uliopitiliza uovu, lakini nyie mnaona sawa tu mateso ya watanzania kunufaisha matumbo

MUNGU ninayemuani ni mkuu sana hakika hataacha haya yapite katika JINA LA YESU KRISTU ALIYE HAI

kila kilichofichwa kitafunuliwa na hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe
 
Je Kwa nini isiwe ni mambo ya kisiasa? Yaani Kwa nini hutaki maelezo yake unalazimisha maelezo ya gazeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…