Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Nyinyi pakueni hela zote mzimalize, uzeni kila kitu, hamna haja hata ya kukanusha kitu. Watanzania wamewaachieni nchi muifanye vile mnapenda.
Wao hawahusiki na hii nchi, hii nchi ni yenu viongozi wote na familia zenu. Mali yenu fanyeni mnavyotaka iwe.
 
Anakazi nyingi za kufanya jamanii bado na mitandao mingine huko anatakiwa akakanusheπŸ˜€
 
Ukiunganisha Tanzanialink
hatuhitaji kuwa appreciative. Hii ni forum kama nyingine tu. Iwe facebook, x, instargram. Wao kuwepo ni kuonesha hii forum ni muhimu ila sio wao ndio muhimu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ujue anasoma na kucheka haya maombi ya mwamposaπŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi ina maana viongozi hata ule ubinadamu kidogo tu kwa wananchi hawana ? Huku tunachambwa kwamba kura zetu si kitu ukienda kule sijui mbuga ichimbwe madini hujakaa sawa miradi mingi inasua sua na kusimama sababu ya upigaji ,viongozi ni lazima mjue hawa hawa wananchi mnaowaona mazombie ipo siku watawashangaza ,

Najua mkikaa huko mnasema hakuna wa kutugusa nchi hii lakini angalie siku inakuja ,inauma sana kuna watu wanakufa nchi hii kwa kukosa paracetamol tu nyie hamuyaoni hayo mnatuona manyani
 
Hata Robot au AI huwa ni interactive yaani ukiuliza unajibiwa..., ndio maana nilisema sababu hatuna Jukwaa la Propaganda uzi za huyu jamaa zingepelekwa Jukwaa la matangazo sababu anachofanya ni kuleta propaganda na kujisafisha na kupoteza muda wetu kama walipa Kodi... Ni mwendo tu wa kutwambia tupuuze wakati logic inaniambia kama mwizi ni mwizi kweli ni vigumu kukubali kwamba ni mwizi (Hususan mwizi huyo kama tunampa nafasi ya kujibu tuhuma kwa kumuuliza maswali anakata kona)
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Atanyongwa na nani sasa wakati wanashirikiana na wanyongaji.
 
Umesoma upande mmoja umekuja na comment, kwa nini usisome na upande wa pili ujiridhishe? Then think critically!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…