Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Nondo jf? 😂
Wengi weupe sana, hawajui mengi hata ya kawaida. Japo wapo walio vizuri

Lakini unapaswa ufahamu hili kanusho hajaliweka jf tu kaweka kwenye mitandao yote anayotumia, alianza kuweka Twitter. Ukisema ajibu kila comment si atatumia siku nzima kuzunguma Twitter, insta na jf ili kujibu alichoweka
 
Maelezo ni mengi uliyoyaandika ila naomba nikuulize swali moja, umejibu hoja yake kwa facts zisizokuwa na shaka?
 
Hongera Mheshimiwa Waziri kwa ufafanuzi huo

Pia hongera kwa kulipa jukwaa hili heshima kubwa kwa kutoa ufafanuzi wa wizara kupitia jukwaa hili INGAwa unajuwa wapo watu wenye itikadi tabia na mienendo mizuri na mibaya NDANI ya Fake Id

Pia niendelee kupongeza juhudi mbalimbali za wiazara yako na serikali kwa ujumla katika kuletea wananchi maendeleo

Kwanza Naomba uendelee kutoa ufafanuzi wako pia ikiwezekana vitengo vyako vyote vitoe ufafanuzi mbalimbali humu

Pili niombe kwa vile umetoa ufafanuzi humu kwa Nia njema Naomba uwe mvumilivu pia kwa michango ya wanajukwaa na ukipata nafasi UWEZE kujibu baadhi ,
Tunajua majukumu makubwa uliyonayo Ila ni vizuri ukapata nafasi ukapitia

Humu Kuna watu wenye akili na ufahamu mkubwa wa masuala ya kiuchumi


Ila Kuna wengine wamezoea kukusoa na kulalamika tu bila kutoa suluhu ya matatizo na kuunganisha chuki BINAFSI matusi kejeli ,
Naomba na hao uwavumilie pia.

Mwisho Hali ya uchumi wetu bado haiko vizuri mawazo yako BINAFSI na elimu yako Mheshimiwa waziri haitoshi kuleta mabadiliko chanya kiuchumi


Kubali tu kuwa mnyekekevu upokee mawazo ya watu wengine wenye NIA NJEMA na nchi yetu nzuri tuipendayo

Tutaendelea kutoa maoni yetu
 
Yuko hapo alipo kwa hisani ya yule Chura Kiziwi. Hivyo hajali chochote. Kweli hii nchi imepigwa.
 
Oya ntie, hili kanusho kaweka kila mtandao anaotumia, atawezaje kusoma na kujibu kila comment? Au unahisi kweka tu jf? Tumieni ubongo
 
Manina walai...hii nchi ina machawa.
 
Mh Waziri wakati wa Mapambio mnasema Ukusanyaji uko wa kutosha kodi matrilioni jadi mnaguka lengo.
Wananchi wazalendo wanapohisi pesa zao mnazipiga mnadai ni mikopo ya hapa na pale.

Yaani mkihojiwa tu ndio mnakuja na ufafanuzi wa vifungu vya sheria.
 
Basi akaweke huko anakoona hawezi kuulizwa maswali.. Au mnagawana naye hizo fedha wanazokwapua!?
Mm nimekusaidia kufikiria, kaweka mitandao yote anayotumia na of course ana huo uhuru
Sasa jiulize anaweza kujibu comments zote insta, Twitter na huku jf?
 
Kama nyakati zile aliaga kwa kuapa kwamba hatarudi tena humu. Na akatukana
 
Asante Mheshimiwa Waziri Dr. Mwigulu Nchemba Dr. Mwigulu Nchemba kwa ufafanuzi wako. Ninaunga mkono maelezo yako kuhusu utaratibu wa kisheria unaoruhusu Serikali kukopa kutoka BoT. Ni muhimu kwa umma kuelewa kuwa taratibu hizi ni za kawaida na zinafuata sheria za nchi na taratibu za kimataifa.

Ningependa kusisitiza umuhimu wa vyombo vya habari kufanya uchunguzi wa kina na kupata ufafanuzi kutoka kwa mamlaka husika kabla ya kuchapisha taarifa ambazo zinaweza kusababisha taharuki. Hii itasaidia kuzuia upotoshaji na kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi na zenye ukweli.

Naamini kuwa BoT itaendelea kutoa elimu kwa umma na kuweka wazi taratibu zake ili kuimarisha uaminifu na uwazi katika utendaji wake.
 
Kama kaweza kuweka kote ni wazi anaweza kujibu kote usimkatishe tamaa
Siamini unawaza sawa sawa kama wengine wanavyowaza
Kuweka post kwenye mitandao unayotumia ni ku-copy na ku-paste th
Ila comments unasoma moja moja, ww hiyo kazi ungeiweza? Usome waliocomment insta wote na uwajibu, usome Twitter na uwajibu na huku jf napo uwajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…