Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891
Ndugu yetu Dr Mwigulu Nchemba, kama hakuna cash outflows BOT, je hiz pesa za kuendesha timu unazipata wapi ndugu yetu?
 
Ngoja kwanza tuangalie VAR

1000011168.jpg
 
Nondo jf? 😂
Wengi weupe sana, hawajui mengi hata ya kawaida. Japo wapo walio vizuri

Lakini unapaswa ufahamu hili kanusho hajaliweka jf tu kaweka kwenye mitandao yote anayotumia, alianza kuweka Twitter. Ukisema ajibu kila comment si atatumia siku nzima kuzunguma Twitter, insta na jf ili kujibu alichoweka
Kuna alikojibu? Umeangalia lile kanusho lake jingine hili hapa chini?

PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891
Ninatarajia Hao Nipashe wakanushe habari yao ya uongo baada ya wizara kuwaonesha ukweli. Tofauti na hapo ni kujilisha upepo.
 
Kila siku uko mbio kuleta maelezo marefu hapa lakini ukiulizwa maswali hutoi majibu, unakuja na maelezo ya kisiasa kudanganya wajinga ukidhani hili ni jukwaa la robots, kama unajiamini kweli tulia hapo utoe majibu ya maswali unayoulizwa.

Kaa chini ujiulize kwanini ni wizara yako ndio inayohusishwa na mambo ya hovyo zaidi badala ya wizara nyingine? usitake kutuaminisha hao wanaosema mabaya yanayohusu wizara yako wanakuchukia personally, ukweli una tatizo bahati yako unalindwa na your incompetent boss.

Mpina amekuwa akitoa mapungufu mengi kukuhusu kule bungeni, ukaishia kumjibu hovyo badala ya kumjibu kwa weledi, baadae ukashangilia sana kwa kugonga meza siku ile aliyoadhibiwa na yule spika mbovu anayewatumikia mafisadi.

Leo Mpina yuko nje ya bunge, ajabu bado wizara yako inahusishwa na madudu kila siku, umekuwa wa kujitokeza na kukanusha kama ndio mtindo mpya wa maisha yako huku ukiogopa kujibu maswali yetu, ukijidanganya huo ndio utendaji, utendaji gani wa kiuoga!, acha usanii.

Naamini kesho tena utakuja kukanusha kingine, waziri wa fedha unayeona sifa kujiita unakuposheka!.
Anatuona wajinga.

Ana uzi wake ule ameuandika Ijumaa halafu akaingia mitini.

Uzi wake aliukimbia na member mwingine alikuja na ushahidi wa kile ulichosema tukipuuze ila bado ukaingia mitini kwenye thread yako na yake.

Leo ameibuka tena na hizi story tena.

Mimi namuachia swali tu moja hivi ile report aliomba Samia siku anasomewa ripoti ya kwanza ya CAG tangu Magufuli afariki .

Samia aliomba taarifa za miamala iliyofanyika BoT kuanzia January 2021 hadi March 2021 tena kwa msisitizo maana yake kulikuwa na kitu kisicho cha kawaida na alikuwa na "tip"

Hiyo report tunaipata wapi au ndio ilipotelea hewani kama utani wa Nape?

Cc OKW BOBAN SUNZU
 
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI.

Nimesoma taarifa hiyo ambayo inatokana na uchambuzi wa NGO iitwayo WAJIBU inayoongozwa na Mzee Ludovic Uttoh, CAG Mstaafu. Kwa ujumla maelezo ya taarifa hiyo yanaeleweka na hayana utata wowote, hivyo sijui kwa nini mwandishi wa Nipashe ameeleza kuwa KUNA UTATA BoT.

Taarifa imeelezea suala ambalo ni la kawaida na huwa linafanyika kila mwaka kutokana na Sheria ya BoT inayoruhusu kutoa advances or Short Term Loans kwa Serikali ili kukidhi mahitaji ya matumizi ambayo yanakuwa hayajapata mapato. Kwa mujibu wa kifungu cha 34 hadi 37 cha BoT Act, Serikali inaruhusiwa kukopa hadi 18% ya makusanyo halisi ya ndani ya mwaka uliopita. HILI LIMEKUWA LIKIFANYIKA HIVYO TANGU BOT IANZISHWE, BOT NI BENKI YA SERIKALI, SERIKALI UCHUKUA ADVANCE KWA MUJIBU WA SHERIA BADALA YA KUKOPA KWA RIBA KUBWA KUTOKA BENKI ZA KIBIASHARA.

Hivyo, kwa mwaka 2022/23, Serikali ilikuwa inaweza kukopa BoT kiasi kinachofikia TZS. 4.5 trillion. Hivyo, taarifa ya kuwepo kwa mkopo wa TZS. 1.7 trilioni ni suala ambalo liko ndani ya wigo unaokubalika kisheria. Kiasi hicho kilipofika mwisho wa Mwaka kilijumuishwa kwenye Treasury Bonds za Mwaka husika ambazo zinaendelea kulipia riba kama sehemu ya mikopo ya ndani.

Utaratibu huo ni wa kawaida na ufanyika kwa Benki Kuu za nchi nyingi duniani, pindi Serikali inapohitaji Fedha za kugharamia Bajeti wakati bado inaendelea kujipanga na kukusanya mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali. Ndio maana hata IMF waliridhika kuwa BoT na Serikali wamezingatia Sheria na taratibu za kimataifa kama inavyotakiwa. Kutokana na uzingatiwaji wa Sheria hizo, Bodi ya IMF waliridhia kutoa USD. 300 milioni kwa mwaka 2023/24 na Benki ya Dunia waliridhia kutoa USD. 750 milioni kwa mwaka 2023/24 kwa kuwa tathmini ya Pili ya program ya IMF iliyofanyika Desemba 2023 iliangalia masuala mbalimbali yakiwemo ya mapato, matumizi, madeni, uzingatiwaji wa Sheria ya BoT, ukuaji wa uchumi, mfumuko wa bei, urari wa biashara, thamani ya shilingi na usimamizi wa masoko ya fedha nchini.

Kutokana na maelezo haya, nadhani mwandishi wa gazeti la Nipashe hakupaswa kusema kuwa kuna utata BOT tena bila hata kuulizia au kuomba ufafanuzi kutoka BoT. Inawezekana aliandika kwa nia ovu ya kuupotosha umma, kuidhalilisha BoT na kusababisha taharuki kwa jamii. Aidha, inawezekana mwandishi ameandika kwa kutojua Sheria suala ambalo angeuliza angepewa ufafanuzi unaotakiwa.

Kutokana na maelezo hayo, BoT itaandaa taarifa kwa umma na kukanusha na kutoa elimu kuwa hakuna utata wowote uliopo kutokana na taarifa hizo bali ni suala la kawaida ambalo Serikali inaruhusiwa kukopa kwa kuzingatia ukomo wa 18% ya mapato halisi ya mwaka uliopita, kama ilivyo kwa Sheria za nchi nyingine duniani. Hata ukomo huu upo kwenye viwango karibiana kati ya Nchi zote za EAC.

View attachment 3047891
Acha maneno matupu ya siasa. Nchi ipo kwenye crisis kubwa ya kifedha na hakuna lolote la msingi unalofanya kulisaidia Taifa.

Kunq shida kubwa sana kwenye uchumi wetu hadi kusababisha uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hasa dola

Hili limesababisha shida kubwa sana kwenye uchumi wetu na badala mje na njia mbadala za maana katika kufanya maamuzi sahihi mmekalia siasa na kujaza matumbo yetu tu!
 
Lakini tushukuru tu hata haya mambo tunasikia..
Wanaweza wakaamua kuchota, vyombo vya habari vyote vikapigwa spanner.

Na hakuna anayejali.
 
Kila siku uko mbio kuleta maelezo marefu hapa lakini ukiulizwa maswali hutoi majibu, unakuja na maelezo ya kisiasa kudanganya wajinga ukidhani hili ni jukwaa la robots, kama unajiamini kweli tulia hapo utoe majibu ya maswali unayoulizwa.

- Last time nilikuuliza hivi; ulikuwa kila mwezi unatupa mrejesho wa kiasi mlichokusanya kwenye tozo za miamala ya simu, na unatuambia matumizi yake yatakuwa yapi, sasa mbona siku hizi unakusanya tozo tu lakini upo kimya hutuambii chochote? nikikuita mwizi nitakuwa nakuonea?! Hukujibu chochote.

Kaa chini ujiulize kwanini ni wizara yako ndio inayohusishwa na mambo ya hovyo zaidi badala ya wizara nyingine? usitake kutuaminisha hao wanaosema mabaya yanayohusu wizara yako wanakuchukia personally, ukweli una tatizo bahati yako unalindwa na your incompetent boss.

Mpina amekuwa akitoa mapungufu mengi kukuhusu kule bungeni, ukaishia kumjibu hovyo badala ya kumjibu kwa weledi, baadae ukashangilia sana kwa kugonga meza siku ile aliyoadhibiwa na yule spika mbovu anayewatumikia mafisadi.

Leo Mpina yuko nje ya bunge, ajabu bado wizara yako inahusishwa na madudu kila siku, siku hizi umekuwa wa kujitokeza na kukanusha kama ndio mtindo mpya wa maisha yako, huku ukiogopa kujibu maswali yetu, ukijidanganya huo ndio utendaji, utendaji gani wa kiuoga!, acha usanii.

Naamini kesho tena utakuja kukanusha kingine, waziri wa fedha unayeona sifa kujiita unakopesheka!.
Niffah.....big up sana ukweli lazima usemwe...kunywa togwa chupa moja kwa mama mkude nitakuja kulipa maana umeupiga mwingi.
 
HHu
Asante sana kwa ufafanuzi huu, this is good!, well done!.

Niliwahi kushauri, dawa ya uongo ni ukweli, uongo ukisemwa bila kukanushwa hugeuka ukweli.

Nimependa jinsi ulivyojitokeza in person kujibu na kukanusha, nashauri ijengee uwezo ile idara yako ya gvt communications pale wizarani, uongo ukitolewa Nipashe, ukanushwe Nipashe huku jf iwe ni cc only.
Kiukweli I was very right about you tangu enzi zile Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! ila yale maswali yangu, hujawahigi kuyajibu, kila nikikuuliza unayakwepa na unapotea jumla!, naomba nisiyarudie usije ukapotea tena, uwepo wako humu una thamani kubwa kwa maslahi ya taifa kuliko hoja personal unazokwepa kuzijibu.
Nimefarijika sana kukuona.
P
Njaa itakuuwa brother yani hauna tofauti na Lukas Mwashambwa, acheni kujipendekeza kwa watawala
 
You know, from a psychological point of view. Kichwa cha habari kimebeba uhalisia mzima wa kinachoendelea.

The fact kwamba kichwa kimetumia neno "Puuzeni" au kwa kiingereza "Ignore" neno ambalo mara zote hutumika subjectively. Badala ya kukanusha objectively ni kitu cha kustaajabisha kwa wenye akili na wadadisi makini wa mambo. Sababu siku zote binadamu subconsciously hupuuzia kitu anachojua ni kweli.

Wenye akili wamenielewa.
 
Back
Top Bottom