Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

Umeelewa lakini andiko langu ndugu yangu? Andiko langu ni kwa ajili ya kukanusha taarifa ambayo ilisema nimepewa uteuzi ndani ya CCM,jambo ambalo siyo la kweli.
Ungekuwa umeteuliwa kwenye ile mikeka tungeshakuona. Labda kama ni zile nafasi zetu ndani ya chama ambazo upigwa kimya kimya.
 
Lucas hataki kupigwa mizinga
Ashakulaa neema alafu anajifanya bado...
Dah kumbe lucas siyo kabisa anataka ale pekee yake

Ova
Hapana ndugu yangu.mimi sijala uteuzi wala kitengo chochote kile ndani ya chama.
 
Binafsi huwa nakuona kama dish limeyumba, ww ni Deo Kisandu mpyaa hapa jukwaani!.
 
Basi umeonwa na umesha sikika.
 
Kikubwa fans wako hatuhangaiki na chuya unazoandika, huwa tunakujibu kwa kusoma heading tu.

Kikubwa tunakupa kongole kwa teuzi. Nitabadilisha signature yangu niandike neno la kukj
upongeza kwa uteuzi. Uchawa na drop out vinalipa. Valid example ni wewe
 
Kama kuna mtu amezusha kuhusu uteuzi wako basi ni wewe mwenyewe mbwa mwerevu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…