Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

Hata mm niliyesoma Afghanistan naelewa kuwa hapa unalia njaa. Mfumo hauko hivyo. Haukupi cheo mpaka uwe sehemu ya mfumo pamoja na network. Wewe yaonyesha huna network. Be care, utasota sana.
Sina njaa mimi na kama ningekuwa na njaa basi ningekuwa nimeshakufa kwa njaa muda mrefu sana.
 
How do you get your bread, Mr. Sluggard?
 
Andika kitabu!
 
Mkuu mpka wachawi wanabubujikwa na machozi mama alivyowafikia
 

Phone number?
 
MAMA ANATOSHA KUTUONGOZA NA KULIONGOZA TAIFA.
 
Imekuwaje hujateuliwa? Maana vilaza wa aina yako huko ccm ndio wanapata vyeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…